dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Hassan ana lake jambo la hila dhidi ya Tanganyika kuhusu hili la Bandari na mengineyo.

    Hello, Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu. Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wanafunzi wanne wasimamishwa masomo kwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao

    Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kushuka thamani kwa TZS dhidi ya USD ni speed ya 7G

    Habari wana JF, Naomba kuuliza: Hivi hii speed ya TZS kushuka thamani dhidi ya USD kuna maanisha nini kiuchumi? Asanteni
  6. JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo kupita. Masaa 12 baadae (saa kumi usiku) vyombo vya dola vinaongoza bomoa bomoa eneo la Magari...
  7. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

    Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev. Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

    USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
  9. JamiiForums Tanzania Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi Dhidi ya Tanzania

    Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali. Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi mabaya ya viongozi. Iwe ni ubadhirifu wa pesa ya umma, kwa kiasi kikubwa unafanywa na viongozi na...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani kikosi cha Yanga kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye CAFCC

    Natamani kikosi kiwe hivi dhidi ya USM Alger kwenye kombe la CAF 🤗 1. Diarra 2. Djuma shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Mwamnyeto 5. Bacca 6. Bangala 7. Morrison 8. Sureboy 9. Mayele 10. Mdathir 11. Msonda Baadae atoke Musonda, Mdathir, Sure Boy , Morrison weka, Moloko, Mzize, Kisinda, Aziz Ki...
  12. JamiiForums Tanzania Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

    Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS). Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga. "Shauri...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mafisadi ndiyo chanzo cha chuki dhidi ya mawaziri wa wizara ya Nishati

    Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa. Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia...
  15. JamiiForums Tanzania Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

    Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu itakayodumu miaka mitano. Wapigwe magoli ya chenga za maudhi kama ya Chama au mishuti mama mkanye...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwekezaji Kwenye Nafsi Yako: Elimu Na Utawala Bora Kama Kinga Dhidi Ya Hatari

    UWEKEZAJI KWENYE NAFSI YAKO: ELIMU NA UTAWALA BORA KAMA KINGA DHIDI YA HATARI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Karibu katika makala hii kuhusu "Uwekezaji kwenye Nafsi Yako: Elimu na Utawala Bora kama Kinga Dhidi ya Hatari". Jambo la muhimu zaidi ni uwekezaji kwenye nafsi yako. Hii inamaanisha...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lavrov atua Nairobi kujaribu kushawishi msimamo wa Kenya dhidi ya Urusi

    Urusi inapapatika kote kujaribu kutafuta uungwaji mikono Kenya's President William Ruto with Russian Foreign Minister Sergey Lavrov at State House Nairobi on May 29, 2023. Looking on are officials from Russia and Kenya. PHOTO | RUSSIA MFA Russian Foreign Minister Sergey Lavrov touched down in...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Urusi yamtishia Seneta wa Marekani kwa kauli yake ya kejeli dhidi ya Urusi

    Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya ndani. Ofisi ya rais wa Ukraine siku ya Ijumaa ilitoa video iliyohaririwa ya mkutano kati ya Seneta...
  20. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…