dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda lalamiko dhidi ya Juma Choki, Loren Japhet apeleka tena malalamiko dhidi ya Nasibu Ramadhan.

    Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi. Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare. Loren Japhet alipeleka...
  3. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

    Habari ya mjini Sasa hivi ni Yanga kuifunga Kaiza chiefs, Skudu na Maxi. Hii imesababisha uzinduzi wa Jezi mpya za Simba uwe buusheti!!!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kinga dhidi ya kushtakiwa kwa Marais ni Sheria mfu

    Ndio, Uraisi ni Wadhifa nyeti Duniani kote na Raisi anapaswa kulindwa na mfumo na Sheria za Nchi akiwa ndani na hata nje ya madaraka. Lakini swali ni Je, Kinga za kisheria wanazopewa viongozi Hawa haswa Hawa Executive Presidents, zinalinda maslahi na madudu yao, au zina Linda maslahi ya Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Kufikia Haki, Uhuru, na Amani ya Kweli: Vita Dhidi ya Ukandamizaji na Unyonyaji

    KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, kama mkataba una mapunfufu ya aina hii, wakitupeleke mahakamani , wanaweza vipi kushinda kesi dhidi yetu?

    Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili. Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  9. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Mkataba wa Bandari ni wa Kijambazi na Uvamizi dhidi ya Tanzania

    Wakili Boniface Mwabukusi amesema wao kama Wanasheria hawatoruhusu Mikataba ya Kijinga, Wizi, Ufisadi na isiyo ya Kizalendo ikiwemo kuwepo Viongozi ambao wanatoka waziwazi na kushangilia Wizi na kuongeza kuwa Mkataba wa Ushirikiano wa Dubai na Tanzania ni wa Kijambazi. Amewambia Mawaziri Nape...
  10. JamiiForums Tanzania Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  11. JamiiForums Tanzania Tuige wenzetu Kenya wanavyokuja kupambana na haki za walio wengi dhidi ya serikali

    Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi? Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani? Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli...
  12. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu na Rushwa bado ni mkubwa

    Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Liberatus Sangu ataka Ulinzi Kwa Watoto wa Kiume Dhidi ya Ushoga

    ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewataka wazazi na walezi nchini kujenga misingi imara ya imani na maadili kwa watoto wao na kuwalinda dhidi ya ushoga. Kiongozi huyo wa kiroho alitoa rai hivo juzi wakati wa sherehe za kumpa daraja. la upadre James Mrema...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Silaha Dhidi ya Ufisadi

    UTAWALA WA SHERIA: SILAHA DHIDI YA UFISADI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Ufisadi ni mojawapo ya changamoto kuu zinazokumba mataifa mengi ulimwenguni, hususan yale yanayoendelea. Ufisadi unaharibu uchumi, unazuia maendeleo, unatishia usalama na unakiuka haki za binadamu. Kupambana na...
  15. JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkataba huu wa DP World ni malipo (Retribution) ya Waarabu dhidi ya Tanganyika kuikalia Zanzibar?

    Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari. Lakini jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

    Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe. Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni...
  17. JamiiForums Tanzania Sarafu ya Tanzania (TZS) yazidi kuporomoka dhidi ya Dollar (USD)

    Power to the People Wanajamvi!!! Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za kigeni. Kiwango ambacho TZS imeporomoka sasa hivi, hakijawahi kufikiwa tangu uwepo wa TZS duniani, yaani...
  18. JamiiForums Tanzania Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Lukashenko aingilia Mapambano ya Wagner dhidi ya Urusi

    Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe Wamagharibu na kumtaka asielekee Moscow kumwondoa Putin. Rais huyu wa Belarus inaonekana ameombwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…