dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie. ========== More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa mashabiki wa Afrika Al Ahly kwa Palestina

    Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri) Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu. Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati...
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Maandamano ya Mbeya dhidi ya DP WORLD yanaungwa mkono na watu wote

    Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika . Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu . Unadhani...
  4. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  5. JamiiForums Tanzania Usugu wa vimelea dhidi ya madawa

    Upinzani wa antimicrobial unarejelea uwezo wa vijidudu, kama vile bakteria, virusi, kuvu, na vimelea, kuhimili athari za dawa za antimicrobial. Hii inaweza kufanya matibabu ya kawaida kutofaa, na kusababisha maambukizi ya kudumu na hatari kubwa ya kuenea kwa wengine. Inaleta tishio kubwa la afya...
  6. JamiiForums Tanzania Tahadhari dhidi ya utapeli mpya mjini

    Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu 50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama Waziri Mkuu hahitajiki basi mwambieni tu. Hivi vitimbi dhidi yake hastahili

    Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wala hadhi ya kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha. Eti anampq PM miezi 6 awe amemaliza migogoro ya ardhi. Eboo! PM akigoma kutekeleza hayo maagizo Makonda atamfanya nn? Mdomo wa Makonda ufungwe breki ili awe...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    ■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha kijeshi cha Houthi cha Yemen kimetangaza Vita dhidi ya Israel na kufanya mashambulizi

    Kikundi cha Houthi kutokea Yemen kimetangaza vita rasmi na Israel katika kuiunga mkono na kimefanya mashambulizi ya makombora ya masafa marefu na kurusha drones za mashambulizi kuelekea Israel kutokea Yemen. Kikundi hiki kinashikilia maeneo kadhaa ya nchi ya Yemen na kimekua kwenye mapigano pia...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwaona Al Ahly FC dhidi ya Mamelodi Sundowns FC leo je, GENTAMYCINE niliposema kuwa Yanga SC itawafunga Dar na Cairo nilikosea?

    Na kwa Kujiamini kabisa na leo tena narudia kusema (najua wana Simba SC Wenzangu mtaumia) kuwa kwa Al Ahly FC hii hii niliyoiona ikicheza hovyo dhidi ya Simba SC hapa Dar na Cairo na ilivyocheza leo na Mamelodi Sundown FC huku Kiwango chao Kikipungua itaenda Kufungwa na Yanga SC ambayo kwa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

    Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Urusi yaionya Israel

    Kumekucha Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu. Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

    Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
  14. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Match Day. Young African Sports Club Vs Azam Football Club. Muda 12:30 Jioni. Benjamin Mkapa Stadium. Ni game kali, yenye kutaka ushindi. Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga? Tukutane kwa Mkapa. Daima Mbele, Nyuma Mwiko. All the Best Yanga. Mchezo umeanza Yanga...
  15. JamiiForums Tanzania Mawaziri Wakuu wa zamani wa Israel wamkacha Netanyahu. Waja na hila nyingine kuendeleza vita dhidi ya wapalestina mpaka wawamalize

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita. Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel (IDF) lashutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi

    Kupitia ukurasa rasmi wa account ya Jeshi la Israel (IDF) kupitia mtandao wa Facebook. Jeshi la Israel limeshutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Israel. Intelijensia ya Israel inasema kuwa imefanya utafiti kujua makombora ya Hamas yanatoka upande...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

    Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha mahusiano ya kidiplomasia na Israel. Mathalan Gustavo Petro rais wa Colombia amemtaka balozi wa Israel...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakurd hawajaandamana kuipinga Israel dhidi ya Hamas

    Mzuka wanajamvi! Licha ya wakurd kuwa waislam wa madhehebu tmya Sunni hawajaandama kabisa kupinga taifa takatifu teule la Israel katika operesheni yake ya kutokomeza na kusafisha ugaid na magaidi ya Hamas. Wakurd hawajali kabisa yanayotokea palestina kwasababu wanachuki na waarabu, waajemi na...
  19. JamiiForums Tanzania Clatous Chama (Triple C) amewatamani sana Watanzania, katuma ujumbe wa salamu dhidi ya Taifa Stars

    Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023. “Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Singida Fountain Gate FC yaituhumu TFF na Bodi ya Ligi mchezo dhidi ya Simba SC

    Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…