dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  2. JamiiForums Tanzania META yapewa siku 22 kujieleza inavyodhibiti maudhui ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto

    Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023. Oktoba...
  3. JamiiForums Tanzania Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

    Wanaukumbi. Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina. Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
  5. JamiiForums Tanzania Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
  6. JamiiForums Tanzania Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  8. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi morali ya wachezaji na mashabiki wa Simba ilivyokuwa wakati wa mechi dhidi ya Asec Mimosas ni dhahiri kwamba mambo hayako sawa.

    Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote. Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi morali ya wachezaji na mashabiki wa Simba ilivyokuwa wakati wa mechi dhidi ya Asec Mimosas ni dhahiri kwamba mambo hayako sawa

    Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo waliokata tamaa wakiamini upngozi ndio chanzo cha haya yote. Wapo wanaoamini Kuna mzaha unafanywa na...
  11. JamiiForums Tanzania Kamati ya ufundi Yanga walimhujumu Likud kwenye mechi dhidi ya CR Belouzdad

    Nianze kwa kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango kidogo cha uelewa kilicho onyeshwa na baadhi ya wana jf ambao walikuja kuushushua utabiri wangu baada ya mechi. Komenti za wana jf hao zilinifanya nikumbuke maneno ya mtu mmoja mwenye hekima na busara ambae aliwahi kusema kwamba " The same...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Waisrael waandamana dhidi ya Netanyahu, wasema anaiangamiza nchi

    Photos: Israelis protests against Netanyahu in front of his residence Israelis have staged a demonstration in front of the West Jerusalem residence of Israeli PM Netanyahu, chanting slogans and carrying banners against him. “Netanyahu is the biggest disaster to the state of Israel,” read one...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yatangaza Viingilio vya Match yake dhidi ya Al Ahly, thamani ya KADI ya Uanachama inaanza kuonekana

    Mabingwa wa Kihistoria Nchi Vijana wa Africa,Ama Young Africans kwa Lugha ya King Charles wametangaza viingilio vya Match yake dhidi ya Vijana kutoka kwa Farao..Al Ahly Sc. Hapa walio na kadi ya Uanachama wanaanza kula Matunda na Club itavutia sana watu wengi kuchukua kadi za uanachama Hai...
  15. JamiiForums Tanzania The sinicization of religion (vita ya China dhidi ya dini)

    The Sinicization Of Religions In China Huu ni utaratibu maalumu unaofanywa na nchi ya China kuzifanya dini zote za ng'ambo ziendane na utamaduni na mfumo mzima wa maisha wa jamii ya kichina. Utaratibu huu umeanza karne na karne na umekuwa ukipitia maboresho kadhaa mpaka sasa chini ya China ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili tumieni taaluma yenu kuzuia unyanyasaji huu wa Serikali ya CCM dhidi yenu. Enough is enough!

    Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili. Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson Kilato walishitakiwa na kamati maadili baada ya kuonekana ni wakosoaji wakubwa wa Serikali na sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

    Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo. Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia. Lakini kuna kitu nazidi...
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee 👇

    Kwa hiki kinachoendelea kwa Wazayuni laanatullah alayhim dhidi ya ndugu zetu Palestina, je! Nitaachaje kuungana na Freedom Fighters/Hamas na kuwauwa hao makafiri wa kizayuni! Nitaachaje kupigania uhuru wa nchi yangu dhidi ya makafiri hao!! Ewe Mwenyezi Mungu, wanusuru hawa ndugu zetu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie. ========== More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…