dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kutoa hukumu kesi ya mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya jeshi la Magereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza. Kwa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, pombe imekuwa silaha mpya ya kisiasa ya Ruto dhidi ya wakosoaji wake?

    Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo. “Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

    Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania. Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kaaba Iko salama kiasi gani dhidi ya mashambulizi ya Wa-Houthi wa Yemen?

    Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania 'Digital Privacy' dhidi ya Uaminifu wa Jadi: Je, kupeana 'Passcode' za simu ni ujenzi wa Uhusiano au Uhujumu wa Faragha? Wajumbe mnasemaje?

    Picha yenye maandishi "Je, Wanandoa Wanapaswa Kukaguana Simu zao?" Ndugu zangu wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki (MMU), Katika zama hizi za mapinduzi ya kidijitali, kifaa cha kiganjani (smartphone) kimeacha kuwa chombo cha mawasiliano ya sauti pekee. Kimegeuka kuwa mtambo unaohifadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila. 1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
  8. JamiiForums Tanzania Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  10. JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  11. JamiiForums Tanzania Uamuzi kesi ya Said Issa dhidi ya bodi ya Wadhamini wa CHADEMA

    Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026. Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shuauri la Madai kati ya Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yataka hatua kali dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

    TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
  14. JamiiForums Tanzania Ujerumani kuingia mzimamzima kuisaidia Ukraine 🇺🇦 vita dhidi ya Urusi 🇷🇺

    HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi. Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
  15. JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Bungeni hakuna kambi rasmi ya upinzani, tuko 11 tu

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu. Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara. Ado alisema mwaka 2015...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Wahalifu wa uchakachuaji wa mitungi ya gesi za kupikia wakamatwa. Je serikali inatulindaje watumiaji dhidi ya huu wizi?

    Habari wana jamii. Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam. Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  18. S

    JamiiForums Tanzania KERO MALALAMIKO YANGU DHIDI YA TALENTS SOLUTION COMPANY LIMITED

    Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited. Nilikuwa nimeajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja, ambao kwa mujibu wa mkataba wangu ulipaswa kuendelea hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…