Huu nao ni ukatili dhidi ya wanaume.

Huu nao ni ukatili dhidi ya wanaume.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,188
Reaction score
14,346
Mmetuaminisha kuwa hakuna mapenzi bila pesa tumekubali tukaamua kuwekeza nguvu na muda kutafuta pesa.

Unakuta mtu siku umeokota kibunda chako umesolve vipengele vyako bahati nzuri umebakiwa na kachenji kidogo unasema leo wacha ni enjoy maisha kichwani unawaza vitu viwili tu pombe na wanawake.

Unapiga zako beer vizuri unasema wacha nitafute pisi yakunipa burudan unachagua pisi yenye mwonekano bomba ila unakuja kugundua pisi haina maajabu yoyote as if imelazimishwa Kuwa muuzaji.

Pisi haipo romantic hakuna anachokijua zaidi ya kujilaza tu sasa unajiuliza huyu mtu yupo serious kwenye fani yake maana hata kutuma salamu mpaka mgombane na hapo umetoa dau la kueleweka kudeal na watu wa aina hii ni matumizi mabaya ya pesa.

Ukikutana nao jinsi wanavyojibrand kuvuta wateja kumbe ni takataka tupu
 
YOTE NI UBATILI MTUPU
 
Haitoshi.

Malengo yetu ni kila mwana jf abatizwe na kuiamini Habari Njema ya Bwana wetu Yesu Kristu mwana pekee wa Mungu aliye hai.
unataka kila mwanajf aamini injili sawa! Embu tuaminishe sasa/tushawishi tuiamini hiyo ijili.
 
Ukikutana nao jinsi wanavyojibrand kuvuta wateja kumbe ni takataka tupu
Uliingia chaka bovu mwanetu pole sana siku nyingine jifunze kuotea halafu punguza huruma huruma hawapendi huruma huruma na usiwe muongeaji sana Mzee next time kausha uone wewe fanya vitendo tu usiongee sana
 
Back
Top Bottom