dhana

Dhana is a census town in Sagar district in the state of Madhya Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  2. Maya Angelou

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "ishini nao kwa akili"

    Wanajamvi Leo katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na swala ambalo limekuwa likinigusa kwa muda mrefu,ni kuhusu usemi kutoka kwenye kitabu kitukufu unaomuasa mwanaume kuushi na mwanamke (mke wake kwa akili) Kusema ukweli hata mimi nawaza ni kwa nini mungu aliligusia swala hili katika...
  5. 888I

    JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  6. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dhana na maisha kama safari ya kumbukumbu

    DHANA YA MAISHA KAMA SAFARI YA KUMBUKUMBU. Ikiwa maisha ni mkusanyiko wa kumbukumbu, basi kuishi ni kukumbuka. Na kama mwanadamu amezaliwa na kumbukumbu za maisha ya nyuma, basi kuishi ni kuendeleza mfuatano wa kumbukumbu hizo. Kifo basi si mwisho wa uhai tu, bali ni mwisho wa uwezo wa kukumbuka...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kusitisha au kufuta usajili wa kanisa" inahusisha nini hasa hasa ? Je, ni kutia kufuli majengo ya kanisa hilo ili asiwepo mtu ndani mle?

    https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Lema: Kumchagua Lissu kuliondoa dhana CHADEMA kuwa chama cha wachaga

    "Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa kilipigwa vita ni chama cha wachaga" "Mimi wakati naingia kwenye kampeni za kumsaidia Lissu...
  10. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Kauli ya sina mtaji wa biashara ni dhana potofu

    Kuna wengi sana hawafanyi Biashara kwa sababu wanadhani kwamba tatizo lao ni kwamba hawana MTAJI. Utamsikia mtu anasema nikipata Mil 10, Au nikipata Mil 100 au nikipata laki 5 nitabadilisha maisha yangu oabisa. Huko ni kutokujua. Hakuna kitu kama hicho. Hatuhitaji MTAJI mkubwa Bali UNAHITAJI...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
  12. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mafanikio kiroho na kimwili

    Kila kitu lazima utumie nguvu kukipata,siyo uganga,nguvu ya mchungaji au Nani bali ni wewe kuandaa mipango sahihi ya kupata vitu unayotaka walau Kwa asilimia 50 ya malengo yako. Hata wale unaowaona au kuwasikia kuwa waliirithi mali kutoka kwa Baba na babu zao,bado wanapambana kuhakikisha...
  13. Omeprazole capsules

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Mkuki

    Habari za asubuhi, natumai ni wazima wa afya ndugu zangu Naomba kupata Elimu kidogo juu ya dhana kwamba Jamii ya kimasia hutumia MKUKI kama ishara ya kuhalalisha zinaa au kuweza kuchepuka na mke wa rafiki au mtu mwingine pale wanapoweka MKUKI mlangoni, Je hii Mila Bado upo ? Au ilishapitwa...
  14. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Dhana ya PPP inapotoshwa sana na kina kafulila na serikali haiwezi kwepa majukumu yake kwa kivuli cha PPP

    Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano Mradi wa...
  16. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  19. ITR

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kuchunguzana kabla ya kuona ina tumiwa na wanaume kuchezea na kupotezea muda mabinti za watu

    Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina lingine tuite uchumba sugu. Lakini cha kushangaza kwenye huu ulimwengu wa kisasa ambao watu...
  20. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Dhana ya jicho la rohoni; ina ukweli kiasi gani?

    Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya. Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
Back
Top Bottom