Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia
Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
Kutii Mamlaka za dunia ni Baraka.
Warumi 13:1-14, iwaongoze,
13:1 Tit 3:1; 1Pet 2:13, 14; Dan 2:21; 4:17; Yn 19:11Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. 13:2 Kut 16:8; Tit 3:1Kwa hiyo...
Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
Najiuliza maswali haya:
Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?
Maria yuko wapi kwa sasa?
Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?
Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka.
Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa.
Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado...
Huu Mfungo ukiutumia vizuri,
Ni muda Muafaka wa kushinda jumla matamaa-tamaa yako ya kifala!!
Usione mwanamke mzuri tayari unamtaka , Kama umerogwa.!!
Ushokijua ni kadiri unanyoendekeza tamaa ndivyo unadhoofisha hatima yako kubwa ambayo Mungu kakupangia.
Dhamilia kuacha ujinga Mfungo huu...
Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa.
Bali na yote walikuwa wanatoa sadaka na dhabihu za kuteketezwa. Na hapo Mungu aliwajibu kuwa dhambi zao...
Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
Kuna wakati tunaingia kwenye ugomvi na watu kwasababu ya kushindwa kusema hapana
Na Kuna wakati tunaingia kwenye magumu ambayo hatuku paswa kuya pitia kwa kushindwa kusema hapana
Unapo shindwa kufanya Jambo na watu wakataka kukupa dhamana ya kulifanya ili Hali unajua huwezi kulifanya
basi una...
I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu.
hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu.
Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu.
ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
-kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani
-Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka
-Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima
Je ni nani mtenda dhambi ?
1. Huangamiza nafsi.
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32)
Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu, na pia huondoa uwepo wa Mungu
kwa mtu na hicho ndicho kifo cha kiroho.
2. Huondoa...
Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya...
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa kwamba akitokea kiongozi mwenye ushawishi akagombea uenyekiti wa chama huwa anageukwa na kuitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.