dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini kugombea Uenyekiti CHADEMA ni dhambi?

    Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa kwamba akitokea kiongozi mwenye ushawishi akagombea uenyekiti wa chama huwa anageukwa na kuitwa...
  2. ward41

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

    Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako. Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu Maandiko yanasema akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote. ( zaburi 103:3) Mahubiri ya yesu Kristo wakati...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kunywa pombe ni dhambi?

    Wakuu, jana nimetoka kwenye mishe zangu nikapitia bar flani ya jirani kupooza koo kidogo. Wakapita walokole flani hivi tunafahamiana nikawapungia mkono,wakaniita pembeni,jambo Lao kubwa likawa wananiambia eti niache kunywa pombe kwani unywaji wa pombe ni dhambi kubwa sana. Nikawaitikia ila...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  5. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Dhambi kitu kibaya sana! Adhabu ya kwanza ni kukutoa ulipo na kukuvua nguo!

    Mara tu ukishatenda dhambi yoyote! "You will never be same"! Inakutoa hapo ulipo na kukuvua ngua na kuwa uchi. Mwanzo 3:1-24! Mara tu Adamu alipotenda dhambi, alitolewa na kutupwa nje ya bustani ya Eden na kuvuliwa nguo! Hakuna cha kusubiri! Hata wao akina Adam na Awa walishangaa saana...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

    Wakuu heshima yenu. Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani. Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe watakatifu tu akiwako na Mungu Baba. Tena Bibalia inasema katika kitabu Cha mwanzo Nanukuu.. Mwanzo...
  7. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dhambi gani mpya chini ya jua?

    NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu? Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
  9. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Je, ni dhambi au si dhambi,kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo?

    JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo. yaani kusuka nywele za mkono au mawigi kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kama kutamani tu ni dhambi, kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli?

    Mathayo 5: 28 Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. MY TAKE: Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dhambi ni Nini

    Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya lililo sawa ingawa mtu anajua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kupata Mali Sio Dhambi .

    Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo nzuri kama ikitolewa kwa Mungu na kutumia na kuendesha kazi yake .Biblia haimlaumu uwezo wa ubongo...
  13. Paspii0

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kutopiga kura ni dhambi mbele za Mungu, dhambi ya kutotimiza wajibu!

    Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa. Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla. Kutoshiriki inaweza kupelekea kukosa sauti katika mambo yanayohusiana na maisha yetu. katika mitazamo mingi ya kidini, mamlaka...
  14. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhambi ya handshake haitwaacha salama Kenya

    Dhambi kubwa ya kwanza na kuapa mbele za Mungu hutoshirikiana na raila odinga Wala handshake yoyote Dhambi ya pili n kutangazia umma wa wakenya huo upuuzi ulifanyika hukoo nyuma hautafanyika tena Na ukafanyika Hii mitafaruku hata aje raila dp hawatokaaa salama arudi makanisan walkiopitia...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

    Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo. Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Musomba: Uchawa ni dhambi ya Jamii, anapokosea aambiwe ukweli sio kumsifia tu

    Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine. Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

    Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka. Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri. Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
  19. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea kuoga na Sabuni Pia tutaambiwa ni dhambi

    Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya moyoni na kusema.... "Kuna Max Nzengeli na Kennedy Musonda wameokoka sasa na wanacheza mpira...
  20. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Watanzania ogopeni dhambi za sirini

    Luka 12:2 Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana. Mnadhulumu haki za watu, mnauwa kwa ujambazi, kwa visirani, ugomvi wa kisiasa na sababu mbalimbali. Jueni hakika kwamba, yupo Mungu aonaye sirini, mnafanya mkiwa mmejificha, mnafikiri...
Back
Top Bottom