Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili iwe na dhamana, miezi hiyo 18 imeisha November, 2021, endapo kwa kipindi hicho sheria itakuwa...