demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Demokrasia na Utetezi wa Haki za Binadamu aliyotunukiwa Tundu Lissu iwe neema kwa chama

    Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watu wasiofahamika wa Usalama wana nguvu kuzidi demokrasia ya Watanzania wote

    Kama ni kweli Serikali imetumia usalama kugushi makaratasi ya uchaguzi, kupanga matokeo ya uchaguzi Tanzania nzima na kufilisi wapinzani wafanyabiashara na hata kuwajeruhi au kushiriki kwa namna yeyote kwenye mauaji ya wapinzani ni tishio kubwa sio tu kwasasa lakini kwa miaka mingi sana ijayo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kwenye demokrasia tanzania tuna safari ndefu sana!

    Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa raia wa jamii huisika wanjitambua! Kinachoendelea hapa nchini kinashihirisha hhaya! Ukweli Ni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, demokrasia ya Tanzania inakua au imedumaa?

    Je, demokrasia ya Tanzania inakua au imedumaa? Ndilo swali analoliuliza mchambuzi wetu Anaclet Rwegayura katika Barua kutoka Dar. Mikutano ya kampeni za uchaguzi inawapeleka Watanzania katika uwanja wa kufurahisha kisiasa, wakati washindani wapya wakipanda majukwaani wiki hii kujinadi kama...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, nilisikia ukiahidi kuimarisha demokrasia. Tunaomba utuachie Katiba Mpya

    Mheshimiwa Rais nilipokuwa kidato cha pili katika somo la fizikia nilifundishwa kwamba mwendo wa gari anayeuona vizuri vizuri ni yule aliyeko pembeni na sio yule aliyeko ndani ya gari linalotembea kwani huyu anaweza kuona miti ndiyo inatembea kumbe gari alilolikalia ndilo linatembea na miti...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

    Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele. ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni...
  8. JamiiForums Tanzania Ipo haja kwa UN kutupia jicho lake kwa ukali zaidi katika mambo ya demokrasia duniani

    Demokrasia au haki ya walio wengi imekuwa kama chanzo cha matatizo mengi sana katika kila kona ya dunia yetu vita mauaji ya hovyo na mengi mno mabaya sana yasiyoweza hata kuambilika, hivyo kwa upande wangu binafsi naona ipo haja ya kimsingi kabisa na muhimu sana kwa UN wakawa na kitengo maalumu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kulihutubia Bunge na kuahidi kuwa katika kipindi kijacho ataimarisha Demokrasia, maneno hayo yanatoka moyoni mwake au ni usanii?

    Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika hotuba aliyotoa Bungeni Jana kwa kudai kuwa Demokrasia ni kuleta maendeleo na kuwataka viongozi Wa...
  10. JamiiForums Tanzania Utawala Bora hauletwi na Sheria zinazotungwa, utawala bora unaletwa na kiongozi aliyeko madarakani

    Unaweza ukaona kuwa solution ni sheria ama kubadilishwe na katiba,lakini kwa ukweli hasa katiba inaweza kubadilishwa lakini bado mambo yakawa yale yale tu. Hapa tanzania kuna watu wanalalamika kuna jambo hili limefanyika ni kinyume na sheria mara jambo lile ni kinyume na sheriaa.. Hii maana...
  11. JamiiForums Tanzania Jerry Rawlings, kiongozi wa zamani wa Ghana afariki dunia

    Jerry Rawlings, Ghana former leader don die. Rawlings die on Thursday morning. Jerry Rawlings John AKA J.J.Rawlings dem born am 22 June, 1947. E die at di age of 73 for Korle Bu Teaching Hospital, according to tori. Former Prez. Rawlings death dey happun just less than a month to di 2020...
  12. JamiiForums Tanzania Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

    Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Upinzani wajitafakari: Je, wako upande wa Demokrasia au wanajali matumbo yao kwanza?

    Ili uchaguzi uaminike unahitaji vitu vikuu vitatu: uhuru, uwazi na haki. Uchaguzi wa mwaka huu haukua na chochote kati ya hayo. Haukua uchaguzi wa kidemokrasia. Moja ya njia ya kupinga dhuluma yoyote ile ni kugoma. Mgomo wa kwanza uliotishwa nchi nzima na wanasiasa wa upinzani haukufanikiwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uganda sasa wametuzidi kwa demokrasia!

    Uganda pamoja na matatizo yao yote ya Museveni kuwepo kwa muda mrefu Uchaguzi wao umekuwa huru kuliko wetu wa 2020. Pamoja na matatizo yao wana wabunge wengi wa upinzani kuliko sisi, hakuna tatizo kwenye kujumlisha kura, hakuna mabox ambayo yameshikwa na kura feki. Ni ajabu lakini ndiyo ukweli...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

    Ndugu zangu, Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia. Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha! Kama hawata kaa chini...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

  17. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais ACT kukosa wakala ni dhihaka ya demokrasia

    Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake. Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo. Inavyoonekana jambo hilo limefanywa...
  18. JamiiForums Tanzania Uchumi ndiyo unaweza kuamua Demokrasia, Afrika hatujafika huko

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  20. JamiiForums Tanzania Vyama vingi vilikubalika ili kuwaonyesha mabeberu kuwa tuna utawala wenye demokrasia

    Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake walijitoa mhanga katika ukombozi wa bara la Afrika na wamewekeana kiapo na vyama vyote vilivyopugania uhuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…