demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  2. JamiiForums Tanzania Demokrasia sahihi ni kufanya siasa ndani ya bunge na mabaraza ya uwakilishi baada ya uchaguzi siyo maandamano

  3. JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Walambisha asali na walamba asali wakimzuga Kamala Harris kuwa Tanzania kuna Demokrasia ili atoe msaada wa tri 1.3

  5. M

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwenye viwango vya Siasa na Demokrasia tumeshuka!

    Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema: "Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
  8. JamiiForums Tanzania Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Kikwazo cha Ukuaji Demokrasia Afrika

    Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga. Umaskini wa kipato unakwaza ukuaji wa demokrasia barani Afrika: 1. Chaguzi za Afrika zimeghubikwa na rushwa hatarishi kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia, Demokrasia ni msingi wa maendeleo

    Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi Vyama vya siasa kupewa nguvu sawa ni mihimu ili kuwe na ushindani wa hoja kwa maendeleo ya nchi. Hii ndiyo kazi kubwa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Demokrasia ya utawala kwa majadiliano na maafikiano

    Utawala wa demokrasia ni utawala wa majadiliano na maafikiano, sio utawala wa amri.na sio utawala wa imla, sisi sote tunajua watu wamegawanyika au wametofautiana katika mawazo na fikira.hakuna kisima cha jumuiya cha kuchota mawazo na fikira za jumuiya. Hwa hiyo mgawanyiko wa fikira ni lazima...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la mashauriano ya kisasa la China linapanua ushiriki wa watu kwenye demokrasia

    Mikutano Miwili ya China yaani Bunge la Umma la China NPC na Baraza la Mashauriano ya Kisasa la China CPPCC inaendelea hapa Beijing. Hivi ni vyombo viwili vikubwa vya uwakilishi wa umma katika mambo ya utungaji wa sheria na mashauriano ya kisiasa. Uwepo wa vyombo hivi viwili kwa pamoja, ni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Rais Samia ameimarisha Sana Demokrasia. Siasa Siyo Uadui hivyo Upinzani uwe ni Kioo cha Serikali kuangalia Utendaji wake!

    Askofu Mkuu KKKT Dr Shoo amesema Rais Samia tangu aingie madarakani ameimarisha Sana Demokrasia na hii iko moyoni mwake kabisa Askofu Shoo amesema Siasa Siyo Uadui hivyo ni vema vyama vya Upinzani vikawa Kioo cha Serikali kujitazama Utendaji wake Source: ITV Habari
  14. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na Uhuru wa Matumizi Yake Sahihi ni Huduma Muhimu kwa Wengi

    Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa akili za Kiafrika Demokrasia bado sana. Hayati Magufuli alikuwa sahihi; kujituma ndilo suluhisho

    Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia. waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima Democracy was just a little chunt system of exploitation. Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana. Waafrica ndio...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kujiita chama cha "Demokrasia na Maendeleo." Demokrasia na maendeleo huwa havikai pamoja

    Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA muwe mfano wa kuheshimu Demokrasia

  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 21 kwenye Utawala Bora na Demokrasia Afrika

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022. Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti: Serikali za Afrika zimerudi nyuma kwenye Utawala wa Bora na Demokrasia

    Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama. Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
  20. JamiiForums Tanzania Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

    N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara. Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni ambao kwa mikoa ya Pwani na Pemba ni sehemu ya maisha yao kabisa kwa muda mrefu, elimu, dini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…