Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu)
Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu.
Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇
Waporaji na wezi...
Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini
Source TBC
=======
Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema:
"Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi.
Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru
CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga.
Umaskini wa kipato unakwaza ukuaji wa demokrasia barani Afrika:
1. Chaguzi za Afrika zimeghubikwa na rushwa hatarishi kwa...
Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi
Vyama vya siasa kupewa nguvu sawa ni mihimu ili kuwe na ushindani wa hoja kwa maendeleo ya nchi. Hii ndiyo kazi kubwa ya...
Utawala wa demokrasia ni utawala wa majadiliano na maafikiano, sio utawala wa amri.na sio utawala wa imla, sisi sote tunajua watu wamegawanyika au wametofautiana katika mawazo na fikira.hakuna kisima cha jumuiya cha kuchota mawazo na fikira za jumuiya.
Hwa hiyo mgawanyiko wa fikira ni lazima...
Mikutano Miwili ya China yaani Bunge la Umma la China NPC na Baraza la Mashauriano ya Kisasa la China CPPCC inaendelea hapa Beijing. Hivi ni vyombo viwili vikubwa vya uwakilishi wa umma katika mambo ya utungaji wa sheria na mashauriano ya kisiasa. Uwepo wa vyombo hivi viwili kwa pamoja, ni...
Askofu Mkuu KKKT Dr Shoo amesema Rais Samia tangu aingie madarakani ameimarisha Sana Demokrasia na hii iko moyoni mwake kabisa
Askofu Shoo amesema Siasa Siyo Uadui hivyo ni vema vyama vya Upinzani vikawa Kioo cha Serikali kujitazama Utendaji wake
Source: ITV Habari
Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia.
waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt system of exploitation. Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana.
Waafrica ndio...
Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee.
India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest...
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022.
Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama.
Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara.
Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni ambao kwa mikoa ya Pwani na Pemba ni sehemu ya maisha yao kabisa kwa muda mrefu, elimu, dini na...
Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo.
Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.