degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Zinnob5

    JamiiForums Tanzania Degree ya computer science

    Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
  2. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za CPA kwa aliyemaliza degree

    Nina Kijana wangu nahitaji kumsomesha CPA amemaliza degree ya Uhasibu wa umma amenieleza Jumla ni 3,650,000/= Naomba wajuzi mnisaidie
  3. Patriarch

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu, je anaweza kusoma degree pharmacy na kupata mkopo asilimia 100%?

    Wasaalam, Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  5. Kukudume2013

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ana CPA analipwa laki tatu anataka aache kazi

    Kuna mjamaa mmoja yupo ameajiriwa sehemu rasmi ana sifa zote za kuwa na mshahara usiopungua 3m kwenda juu .maana anayo master ya fedha na anayo CPA kapata mwaka juzi lkn mpk sasa analipawa laki 3 .alikuja kwangu kuniomba ushauri nikamwambia poa nitakupa.maana yeye anataka aache kazi ili ajiajiri...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanafunzi wa Diploma kuhitimu mwaka huu nakujiunga na Degree mwaka huu?

    Habarini wataalam, Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Shahada kuna namna mnahujumiwa na Serikali, ajira zimekuwa za kibaguzi. Fanyeni jambo ili elimu yenu ithaminiwe

    Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote...
  8. Violet Nkata

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kujiendeleza kwa degree baada ya ordinary diploma ya clinical medicine au kuanza na kufanya kaz kwa miaka kadhaa ndio ujiendeleze na

    Habar zenu Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea na masomo ya Degree baada ya kuhitimu Diploma ya shule za msingi?

    Naomba kuuliza eti ukihitimu Diploma ya Ualimu wa shule za msingi unaweza kuendelea na degree ya shule ya msingi au secondary, Bila kupita Form Six?
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Korea kama hauna degree haupewi mke, Ifike mahala kama hauna degree usigombee ubunge

    Habari wadau..! Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's . Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati...
  11. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  12. Mtu Fodontino

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Natarajia kuhamia Dar es Salaam

    Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
  13. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Chuo gani Dar es Salaam kinatoa Degree ya IT kwa masomo ya jioni?

    Habari ndugu zangu, Kichwa cha uzi kinajieleza. naomba kufahamishwa chuo kinachotoa degree ya IT kwa masomo ya jioni kwa vyuo vilivyopo hapa jijini Dar es Salaaam? Hoja yangu ni hiyo naomba kuwasilisha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ajira za watu waliosomea Human Resource Management

    Nijulisheni kuhusu Ajira za watu waliosoma Human Resource Menagment na pia kwa aliemaliza degree ajiendeleze na Kozi zipi? Au asomee skills ipi?
  15. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa shahada si kitu tena, tutafuta namna nyingine ya kuokoa vijana

    Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni...
  16. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za...
  17. Niite Profesa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nina Diploma ya Ualimu. Je, naweza soma Degree?

    Habarini WanaJF, Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0 Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari. Alama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

    Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu. Mbali na madaktari wahandisi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa wahitimu wa masters degree in Physics, Chemistry, Biology & Mathematics

    Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc. Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

    Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate? Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20 Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Back
Top Bottom