Da‘wah (Arabic: دعوة, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.
Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa???
Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa
Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- ENGULF...
Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao Ufufuo na Uzima ndilo kanisa lao, wazee wasiojua chochote, akina mama ambao hawaelewi kabisa masuala ya...
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.
Amesema hayo...
Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na kuamini kuwa hali yake haiwezi kubadilika. Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Sehemu ambapo ujinga ni...
I suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription.
Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila hio.
Ni dawa ya maumivu ila pia inaweza kufanya utulivu wa anxiety.
Inakupa pumziko fulani hivi...
Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk.
Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu.
Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma?
******🤧🤧🙃*********
Lawama za dhati ziwaendee wote mlioshiriki ule uzi wa jana wa wakubwa na mlioendelea kunichatisha na kuongea...
Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
Habari Wana JF natumaini muwazima
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani,
CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito
Asanteni sana
Shalom wapendwa
Ma dk wenzangu
Matibabu wote
Naomba kuuliza dawa ya fungus kwenye mapaja na pia nahisi scrotum inawasha
Nilikuwa.mkoa.mmoja nahisi maji yake hayakuwa salama kwangu na mwezi sasa nimekunywa grysofulvin wiki ikatulia kuwasha naona imerudi tena
Mbaya zaidi naona na scrotum...
Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa
Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;-
Method of predict normal protein mutation...
Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi:
1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu:
1. Maji yaliyotuama
Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu.
2. Taka zilizochakaa
Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa.
Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
Wakuu poleni sana na adha ya paa kuvuja. Mtaalam wa kuzuia maji kwenye paa nimefika karibuni.
Wale wa hidden roof poleni sana
na wale mlio weka paa la zenge pia poleni.
Gharama zetu ni nafuu
tunapatikana dar.
Simu: 0694185384
TUMA TUMIA VIFAA MAALUM KUZUIA PAA LAKO LISIVUJE KARIBU SANA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.