dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Half american

    JamiiForums Tanzania Tumeshaachana wivu na vituko vyanini? Ila ke wembamba wana visa sana.

    Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand. Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi jiuliza kwa nini taasisi za Bank tunaziamini kutuwekea/hifadhia mahela yetu, ila huduma ndogo tu kama kuchimba dawa hawawezi kukupatia!?

    Hallo wana JF!? Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!? Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  4. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa

    Natumai nyote mu wazima wa afya. Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa. Kila siku, ikifika muda fulani, kichwa huuma sana na kunikosesha raha. Nimetumia dawa nyingi bila mafanikio. Je, huu ni wakati muafaka wa kupima macho ili kuona kama tatizo...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DCEA yamnasa Kinara wa Mirungi, yateketeza Ekari 285.5 Same

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
  6. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  8. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
  9. O

    JamiiForums Tanzania kwanini Dawa za asili/herbal medicinezina gharama kubwa kuliko dawa za hospital, je hakuna regulator?

    Kumekuwa na matangazo mengi ya dawa za asili mitandaoni lakini kamwe hutosikia dawa ya malaria na magonjwa yaliyozoeleka utasikia nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kike. Mambo ya uzazi imekuwa ni fursa sana kwa Sasa. Hii hapa chini inaweza kuwa sababu ya dawa hizo kuwa ghali. Katika...
  10. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matumizi ya dawa hizi

    Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

    Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu. Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Matumuzi ya dawa ya meno

    Bado naendelea na usafi wa nyumbani kwangu kama kawaida,muda huu ndio nimemaliza kusafisha bathroom yangu na sasa natumia astra badala ya dettol.Leo naongelea dawa ya meno,je wewe mwenzangu unatumia dawa ipi ya meno? Je kwa mfano umenunua dawa ya brand fulani,ikiisha unaenda kununua brand...
  15. Sir Bujiku Official

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kuotesha Nywele (Upara)

    Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
  16. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya makovu?

    Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu, hivyo ikasababisha vidonda haswa miguuni vilivyopona vikaacha alama za makovu. Lakini, pia niliwahi kuumwa tetekuwanga nilivyopona zikaacha alama mwili mzima, japo huwa zinaisha kidogo kidogo lakini haya makovu ya zamani ya vidonda ya miguu pamoja na haya ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu kaacha dawa za presha presha yake Iko 200/93 pr 46

    Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia...
  18. majoto

    JamiiForums Tanzania Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao za dawa buguruni

    Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni 2/2 2900 2/4 5000 1 by 8 12000 1by10 16,000 Misumali inch 4 bei 3500 Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000 .. Zote hizo ni ft 12 Piga sim 0743257669
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
Back
Top Bottom