dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta binti wa kuuza dawa mwenye ADDO

    Habari wataalam, Ninatafuta binti wa kusaidia kutoa huduma ya kutoa dawa kwenye duka la dawa muhimu ambalo liko Dar wilaya ya Ubungo. Sifa za muombaji lazima awe amepitia mafunzo ya ADDO na awena cheti. Tuwasiliane inbox kwa wahitaji.
  2. Natufuta kazi (duka la dawa/ phamacy) Mbeya, Dodoma, Iringa na Singida

    Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa. kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
  3. M

    Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  4. Indonesia kuipa Tanzania dawa za Uviko-19 za milioni 345

    Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alikutana na Tri Yogo Jatmiko, Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania katika ofisi za Wizara...
  5. Watendaji wa serikali wakamatwa kwa wizi wa dawa

    Watu 12 wakiwamo Watendaji wa Serikali za Mtaa, wamekamatwa wakidaiwa kuiba chupa 434 za dawa za kuua wadudu wa pamba, zilizotolewa na Serikali kwa wakulima wa zao hilo katika Kata ya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Wilaya ya Ulinzi na...
  6. MSAADA: Mtoto anasumbulia na sikio, linauma na kutoa usaha

    MSAADA: mtoto anasumbulia na sikio. Linauma na kutoa usaha.
  7. Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Habari za weekend..... Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji kwakweli. Back to topic, mmekua mnatumia mbinu za uongo na kulazimisha sana mteja ili mtangaze...
  8. Kuna dawa yoyote mahospitalini ya kutengeneza homoimbalance?

    baadhi ya sababu za kuota ndevu wanawake ni hormonimbalance kama wasemavyo watu wengi. sasa nauliza tu eti mahospitalini kuna dawa yoyote ya kusawazisha hili tatizo la hormonimbalance, kiukweli ndevu imekuwa kerooo hata poda inagoma.
  9. Ijue "TANAKA", dawa ya kumfarakanisha mume na nduguze na marafiki pia

    Tanaka ni dawa inayotokana na uchafu wa hedhi,kucha za miguuni,kitambaa kilichofutiwa manii baada ya kujamiana, nywele za kwapani na uvunguni, kunde maiti, maji ya maiti na kitovu cha mtoto mchanga ambapo huchanganywa pamoja na dawa nyingine za mitishamba, na maji, huchanganywa humo na kuwekwa...
  10. Msaada: Sisimizi na utitiri wananisumbua, dawa yake ni nini?

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavosema, Hapa nyumbani Kuna utitiri wa sisimizi ndani haukatiki, ukiweka samaki tu hata kabatini unawakuta sisimizi wamevamia hatari, sisimizi wanazagaa hadi kwenye unga imefika hatua hadi chumbani wapo tu; kinacho niudhi zaidi jana sijalala kwani hawa...
  11. Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  12. TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa katika Vituo vya Afya, Zahanati nchini Tanzania

    TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa zinazotumika katika vituo vya afya
  13. Ukihusika na dawa za kulevya Zanzibar kifungo cha maisha jela

    Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika. “Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
  14. Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  15. Z

    Anayejua dawa ya kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo(Migrain)

    Msaada jaman kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus. Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
  16. Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
  17. Maduka ya Dawa za binadamu yanapogeuka kuwa zahanati kwa kuendesha matibabu

    Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa, ikiwemo hali ngumu ya maisha watu wameamua kuvunja sheria ili kujiingizia kipato kwa namna yoyote ile iwayo. Maduka haya yamegeuka kuwa zahanati kwa kuendesha shughuli za. Matibabu tofauti na leseni waliyopewa Mengi sana yamejificha nje ya maduka haya...
  18. Ummy Mwalimu ayakubali maoni kinzani maduka ya dawa

    Anaandika katika kurasa yake Twita Tumepokea maoni na ushauri kuhusu Kanuni za mwaka 2020 zinazosimamia usajili wa majengo ya dawa (ikiwemo maduka binafsi karibu na Hospitali/Vituo vya huduma za Afya vya Serikali. Ni mjadala mzuri. Tumefurahi kujua kuwa watanzania wengi tunakubali kuwa lipo...
  19. Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  20. TAFAKARI: Maduka ya dawa marufuku kuwa karibu na hospitali lakini biashara ya majeneza ruksa kuuzwa karibu na hospitali

    Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…