dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dawa hii ya meno, ya mitishamba ipo wapi tena?

    Kuna dawa za mitishamba zinauwezo mkubwa sana. Kama kuna dawa ilikuwa inaitwa ngetwa dfp kama nitakuwa nimekumbuka vizuri, sijui hii dawa imepotelea wapi, iliokoa jino langu. Nilikwenda hospitali ya meno, dokta akaniambia hili jino ni la kung'oa, ilikuwa miaka kadhaa iliyopita na upachikaji wa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kudhibiti usugu wa dawa za kutibu magonjwa yanayo sababishwa na bakteria na kuvu (Fangasi) Tanzania

    KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA. Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Dawa ya allergies

    Wakuu Habari ya jioni, Natumai mko vyema, nilikuwa nahitaji. Msaada wa dawa ya allergies mpaka sasa nimeshatumia dawa hizi Centrizine na predesoline lakini bado sijafanikiwa kutibu tatizo, ambalo nimeambia ni allergies kwani nina vipere vinaniwasha sana vidogo vidigi na vingine ni kama...
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na masuali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za kuzuia maambukizi ya VVU ambazo muhusika anatakiwa kutumia ndani ya masaa 72. Je, hili lina ukweli? Na...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa matumizi sahihi ya dawa

    Wakuu habari zenu? Leo baada ya afya yangu kuyumba, nilienda hosp kucheki afya yangu, baada ya matibabu nilipewa dawa nikiwa nimeandikiwa nitumie 1 mara 3 Kwa siku 5 na mfamasia , akifafanua Kwa kusema nitumie Asb, mchana na jioni. Lakini nikiwa natoka hosp nikakutana na ndugu yangu ambaye NI...
  6. JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  7. JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa

    Pamoja na kupanda kwa gharama za maisha, bado tunashuhudia ongezeko kubwa la kodi kila siku. Maneno ya viongozi yamekuwa yaleyale kila siku, hakuna matumani, jahazi linataka kuzama. Sisi wananchi wa kawaida ni kama watu tuliotoswa baharini ingali hatujui kuogelea. Tumepokwa hata maboya tunayo...
  8. JamiiForums Tanzania Dawa na watengenezaji dawa za kupunguza uzito mitandaoni wana viwango?

    Husika na kichwa cha habari, Uzito wa kupitiliza umekuwa ni janga kwa watu walio wengi kuanzia vijana hadi wazee. Hii yote ni kulingana na ulaji mbovu wa vyakula kama chips na wanga uliopitiliza. Kingine ni uvivu wa kufanya mazoezi kwa watu walio wengi. Ajabu ni kuwa pamoja na kuwa wavivu wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Makusudi wanayofanya wahudumu wa afya kutoa dawa kwa watu wanaotumia bima za afya

    Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa husika haipo kwenye orodha ya dawa kwenye fungu la bima alilopo mgonjwa husika na ni ngumu dawa hiyo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
  11. JamiiForums Tanzania Fangasi sugu za Miguu zilizokata dawa kabisa

    Fungasi za kwenye unyayo, pembezoni mwa miguu na kwenye vidole. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada.
  12. JamiiForums Tanzania Amempa mimba mwanafunzi, akamnunulia dawa za kutoa-hakuzitumia. Sasa anaomba ushauri!

    Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani. Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi. Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu apata dawa mlundikano mashauri, ashauri majaji wapangiwe idadi ya kesi za kumaliza kwa mwaka

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma, amesema kuna haja ya kuweka utaratibu wa kila Jaji wa Mahakama ya Rufani kumaliza idadi fulani ya mashauri kwa mwaka ili kuondoa mlundikano wa mashauri mahakamani. Alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Majaji wa Mahakama ya Rufani...
  14. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Waathirika 4,023 waacha kutumia dawa za ARV sababu ya imani ya dini

    Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni wathirika wa Virusi vya UKIMWI (VVU) wamebainika kutotumia ARV ambazo ni dawa za kufubaza makali ya VVU wanazopewa vituoni kutokana na imani ya dini. Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoani Ruvuma, Josephat Kalipesa amesema hatua hiyo imebainishwa licha ya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  17. JamiiForums Tanzania Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

    Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra). Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
  18. JamiiForums Tanzania Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya biashara nje ya Nchi hiyo kuomba kibali Serikalini. Mkakati huo ni sehemu ya kuongeza pato ikiwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

    Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia Licha ya...
  20. JamiiForums Tanzania Bongo Don na dawa haitoniletea madhara?

    Wadau jana kwenye mida ya saa 2 usiku nilitumia Bongo Don na Azam Energy ila leo nataka nitumie cetrizine Naomba kuuliza haitoniletea madhara?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…