dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Nehemiah

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuua nyasi ardhini

    Msaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini. Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
  2. Emanuel Platnumz

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

  3. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

    Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza dawa India

    Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani. Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India. Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.
  5. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kupiga dawa inauzwa, bei 230000/

    Mashine ni mpya kabisa,haijatumika. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani ,maofisini,majumbani. Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo wa lita 20 na inatumia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

    Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli dawa ambazo pharmacy nauziwa sh8000, nikiwa mwanachama wa NHIF sizipati hospitalini?

    Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi. Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7. Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  10. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kuacha Pombe?

    Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe. Shukran
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

    Salaam Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari. Msaada, asanteni
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  13. realMamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  14. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa huu unaitwaje? Unatibika kwa dawa gan?

    Mtoto anaumwa kama ivyo ni ugonjwa gani na unatika kwa dawa gan?
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya mitandao ya kijamii yanatafutiwa dawa kama hayatazuia uzushi mitandaoni

    Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa jamii. Many social media companies have invested heavily in content moderation over the years. But the...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwenye Dawa ya Presha popote kwani naanza Kujiona sijielewei elewi japo najua Saa 3 Usiku baadae leo nitafurahi mno

    Bila bila Rafiki yangu mkubwa JF hakuna Dawa yoyote ile ya Presha unayoifahamu kwani naona sasa inapanda sana.
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yatumia vipimo tofauti katika suala la dawa za kusisimua misuli

    Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume uliofanyika hivi majuzi, na kusaidia timu ya Marekani kuingia nusu fainali kwa nafasi ya kwanza. Hata...
  18. Black Butterfly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaruhusu Dawa za Kuzuia VVU kuanza kutolewa kwenye Maduka ya Dawa

    Serikali ya Kenya imeruhusu Maduka ya Dawa za Binadamu kuanza kutoa huduma ya kwanza ya Dawa ya Kuzuia Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (PrEP) baada ua tafiti kuonesha zitasaidia Watu kuzipata kwa haraka na kuzitumia. Imeelezwa kuwa Majaribio yaliyofanywa chini ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti...
  19. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Hii dawa inatibu nini jamani

    Montelukast sodium 10g Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa haumwi wala nini. Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala...
  20. kataza

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
Back
Top Bottom