dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata kama tuna hela na utajiri ila tuzingatie sana Afya zetu na tuwe na nidhamu nzuri ya kunywa dawa zetu

    Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024. Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo...
  2. Brojust

    JamiiForums Tanzania VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Mwanamke Msaliti na Muongo

  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

    Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
  7. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata duka la dawa za asili Kisuna Mwanza mjini?

    Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa. Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
  8. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

    Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui Kuna kiboko nyingine
  9. J

    JamiiForums Tanzania Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  10. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni dawa viroboto vimeingia ndani kwangu

    Kwa nje kama mita 8 hadi nje nyumba ndio kuna banda la umbwa. Nimeanza kutumia dipu kuoshea mbwa, vp kuhusu hivi viroboto vilivyoingia ndani naweza kuvimalizaje kabla havijawa chroic?
  11. appoh

    JamiiForums Tanzania Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

    Habarini za muda huu Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Napataje dawa ya kuondoa alama ya mshono mdomoni

    Wanajukwaa habarini nilikuwa naulizia dawa ya kuondoa alama ya mshono mdomoni.
  13. danhoport

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji

    Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
  14. Mama Nehemiah

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuua nyasi ardhini

    Msaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini. Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
  15. Emanuel Platnumz

    JamiiForums Tanzania Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

  16. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

    Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza dawa India

    Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani. Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India. Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.
  18. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kupiga dawa inauzwa, bei 230000/

    Mashine ni mpya kabisa,haijatumika. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani ,maofisini,majumbani. Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo wa lita 20 na inatumia...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

    Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
Back
Top Bottom