Pamoja na yote, Makonda alipambana sana na wazambazaji wa dawa za kulevya

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,852
12,984
Mnyonge mnnyongeni ila haki yake apewe huyu bwana makonda aliweza San kupamban na wazambazaji wa dawa za kulevya na ama hakika dawa ziliadimika na kupotea kbsa kipindi hicho wauuzaji walikimbia nnchi nakutokomea kuziko julikana.

Nilimuona makonda kwa macho yangu akibubujika machozi ktk kanisa la kkkt kimara korogwe kwa kuona watumiaji walivyo adhiriwa na madawa ilisikitisha sana.

Pmj na kutumia mbinu isyo halali kudeal nao kwa kuwataja kwa majina Bila kujali wadhifa wa mtu Hali ile ilwaogopesha Sana wazambazaji na kutokomea kusiko julikna au wengine walionga mpk magari ya dhamani na Mali zingine za dhamani Sana ili wasifikishwe kwa court au wasitajwe kwa namna yoyote ile ktk sakata lile.

Ingependeza kwa mamlaka ya juu mtu huyu apewe uka commissioner kbsa wa kupambana na madawa ya kulevya hatutaona heroin Wala cacaine kwa macho ya nyama Bali tutasikia tu.

Baada ya kusema hayo nawasilisha.

Sent from my Iphone 13 promax xxvc series 20220701
 
6B516840-C1AD-483C-A2AE-03B9791049AC.jpeg
 
Back
Top Bottom