dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

    Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
  2. JamiiForums Tanzania Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  3. JamiiForums Tanzania Maji Dar ni Shida isiyomithilika wakati Mto Ruvu umejaa!

    Wana jukwaa Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza. Dar inategemewa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wangapi? Wanaishi Dar

    Nimekutana na hii paragraph hapo chini kumbe maeneo mengine ukikaa ni kwamba haupo dar, 😆😆 je wengine mpo wapi.
  5. JamiiForums Tanzania Popo tishio kwa maisha ya Wakazi wa Upanga Dar es Salaam

    Na Francis Godwin Changamoto ya Ndege aina ya popo imekuwa ni Tishio Kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Seaview Kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Madhara ya popo yanaweza kutofautiana kutoka kwa kipindi cha mwaka na eneo. Hapa kuna madhara kadhaa yanayoweza kutokea kwa sababu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Watumishi wa Move Tanzania Ltd. Mbaroni kwa kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. 563,351,698

    Shauri la Jinai namba 186/2023 - Jamhuri dhidi ya Ernest Odhul Omalla na Juma Salum Gululi ambao ni wamiliki wa Kampuni ya Move Tanzania Ltd, imefunguliwa leo Oktoba 18, 2023 mbele ya Mhe. Richard Kabate (PRM) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Washtakiwa wameshtakiwa kwa kosa la...
  8. JamiiForums Tanzania Unpopular opinions kuhusu Samaki: Kutoka Dar es Salaam Kwenda Mwanza na Bukoba"

    Juzi kati nikipata fursa ya kutembelea Kanda ya ziwa Kwa wiki kadhaa. Nikapata uzoefu wa kipekee nilipotembelea Mwanza na Bukoba, maeneo ambayo mimi kama mkazi wa Dar es Salaam niliyozoea maisha yake ya pwani, nilifunzwa mambo mengi hasa kuhusu vyakula hasa hasa Samaki. Nikiwa Dar es Salaam...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mke wa mfanyabiashara maarufu Dar kortini deni la Mil. 20

    Dina Mgala, mke wa mfanyabiashara maarufu wa maduka ya kufua nguo kwa machine jijini Dar, Khalid Laundry amefikishwa katika kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Ilala Mtaa wa Pangani akidaiwa kuingia mitini na Shilingi Milioni 22 za mjasiriamali anayejulikana kwa jina la Zenna Kengera au maarufu Anti...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

    Aisee jua linapiga dar hii
  11. JamiiForums Tanzania Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

    Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
  13. JamiiForums Tanzania Kijijini, Mbezi Beach eneo hatari Jijini Dar es Salaam

    Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online, Dar es Salaam UKISTAAJABU ya Mussa Utayaona ya Firauni. Msemo huu unakamilisha picha halisi ya maisha ya wakazi wa eneo la Kijijini, lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ukifika katika eneo hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

    Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia. Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana washiriki Kongamano la 7 la TEHAMA linalofanyika Oktoba 16 -20 2023 Mkoani Dar

    Vijana Washiriki Kongamano la 7 la TEHAMA linalofanyika kuanzia Oktoba 16 -20 2023 Ukumbi wa Convention Centre The Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) Mkoani Dar es Salaam huku Serikali ikihimiza nguvu ya uchumi wa kidigitali kwa wanawake, vijana KWA kuwa wanawake na vijana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero yangu kuhusu utaratibu wa 'refund' kwa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)

    Habari! Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale wanapokuwa wanaanza mwaka wa masomo huitajika kulipa ada kwanza kabla ya kufanyika usajili...
  17. JamiiForums Tanzania Watembea kwa miguu wanagongwa sana na bodaboda Mbagala Rangitatu na Zakhiem Dar es salaam, hali ni tete. Polisi wa usalama barabarani tusaidieni

    Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki. Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Kijana wa Dar akinunua sabufa, sofa la watu 2, kitanda cha chuma na godoro, akipanga chumba kimoja, choo cha jumuia hapo katoboa maisha. Wapo vijana waliofanikiwa wakajenga, kununua usafiri na wengine kumiliki biashara lakini wastani wa vijana wanaoishi kwenye chumba kimoja na vikorokoro vyao...
  19. JamiiForums Tanzania Manula ajaribu mitambo wakati Simba ikimuua Dar City goli nyingi

    ASUBUHI ya Jana Simba imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City kwenye uwanja wake wa Mo Simba Arena, Bunju - Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1, huku kipa wake Aishi Manula akirejea langoni. Mchezo huo ni wa kwanza kwa Manula msimu huu kwani kabla ya hapo alikuwa nje ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…