dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  2. Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  3. Nini kimetokea kwa Air Tanzania TC800, Dar - Kinshasa?

    Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300, Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi, Kuna shida gani? Je, inadharura? Jamiicheki tusaidieni tujue.
  4. Usafiri DAR mgumu, tunalipa nauli ya kugeuka na kusafiri kwa wakati mmoja, mamlaka Zinajua?

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Usafiri Kijiji la dsm ni mbaya sana. Ukitaka kupata nafasi kwenye daladala utalazimika kupanda daladala linalokwenda mwisho wa gari kisha ugeuze nalo kwenda safari Yako unakotaka kwenda. Kote huko lazima ulipe nauli ya kwenda kugeuka nalo na ile ya unakokwenda...
  5. TARURA Dar yaendelea na ujenzi wa miundombinu ya barabara iliyosimama kutokana na mvua

    Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Geofrey...
  6. Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  7. M

    Natafuta mke seriously awe Dar

    Natafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
  8. L

    PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  9. Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

    Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss, nakumiss
  10. Nina Takribani Tani 16 za maharage mekundu. Bei ipoje Dar?

    Bei ya jumla. Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo. Bei ipo vipi mjini Dar?
  11. Baada ya Kuzinduliwa Kwa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi), Jiji la Mwanza Kuipiku Dar Kiuchumi

    My Take Dar itapumulia mashine baada ya Mwanza The Rock City kuzindua Daraja refu Afrika Mashariki. Hiki kichekesho kimeandikwa na hazeti la The Citizen 😁😁 --- Mwanza is poised to become a real economic competitor to Dar es Salaam in the next decade—thanks to billions of shillings being pumped...
  12. D

    Wapi naweza pata wauzaji wa Gas Grills za majumbani hapa Dar

    Wakuu poleni na majukumu. Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills. Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio. Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme. Naombeni mwongozo...
  13. Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical engineering) 0756704145
  14. Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  15. PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

    Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za...
  16. Kama ulikuwa hujui kwanini Dar es Salaam kuna kambi ya jeshi inaitwa Lugalo wacha nikufahamishe

    Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo, lakini si kweli. Jina la "LUGALO" lina chanzo chake ambacho si Dar es Salaam, bali ni sehemu maalumu...
  17. Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  18. Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

    Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious Asanteni
  19. Mabegi kama haya nitapata wapi Dar, Mwanza, Arusha au Dodoma?!

    Asanteni
  20. CHALAMILA usipoangalia MSANDO atakufanyia figisu utolewe Dar es Salaam

    Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana! sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…