Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Katika Jiji la Dar es Salaam, changamoto ya kelele kupita kiasi kutoka katika nyumba za ibada imekuwa ikilalamikiwa kwa muda mrefu na wakazi wengi. Ofisi ya NEMC Kanda ya Mashariki imeonekana kushindwa kusimamia ipasavyo utekelezaji wa sheria na kanuni za mazingira zinazohusu udhibiti wa kelele...
Igweeeeeee
Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo
Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa
Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka.
Sifa za Simu:
Model: Redmi Note 14 Pro 5G
RAM: 8GB
Storage: 256GB
Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana)
Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka.
Sifa za Simu:
Model: Redmi Note 14 Pro 5G
RAM: 8GB
Storage: 256GB
Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana)
Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
📍 – Bunju “B”
Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku.
Tatizo kubwa ni:
Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni
Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu)
Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
Ndugu wasomaji
Tulisikia kwamba saivi city council ya dar es salaam saivi wanahitaji mwemye contena aende ofisi za city ku fanya advance malipo ya contena kuingia mjini na wakati kwa hali hii sisi wengi tunajua hizi kazi hazina uhakika kwamba contena inatoka saa ngapi au lini kwa hiyo hii ku...
https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto.
Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...
Kwa wale wafanyabiashara mnaokuja kujumua mbao wilaya ya Njombe ningependa kuwataarifu juu ya mabadiliko ya ushuru na kodi ya TRA
•Kwasasa wilaya ya njombe wanacharge 3% ya thamani ya mbao zote ulizopakia kwenye gari kama ushuru tofauti na zamani walivokuwa wanacharge 100Tsh kwa ubao.
•TRA...
Habari wakuu 👋
Ninajenga mfumo wa kisasa (startup) unaotumia Artificial Intelligence (Machine Learning) kwa lengo la
👉 kutabiri bei halisi ya kodi ya nyumba kulingana na eneo (kata) na sifa za nyumba hapa Dar es Salaam.
Kwa sasa niko kwenye hatua ya kukusanya data ya awali (Version 1), hivyo...
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED
JOB VACANCIES ANNOUNCEMENT
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED is a growing retail and distribution company committed to excellence in customer service, ethical business practices, and continuous operational improvement. As part of our strategy, we seek experienced and...
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED
JOB VACANCIES ANNOUNCEMENT
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED is a growing retail and distribution company committed to excellence in customer service, ethical business practices, and continuous operational improvement. As part of our strategy, we seek experienced and...
Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri...
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
Duniani kosa vyote usikose akili
Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi.
Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku...
There is nothing as awkward as walking into one of Dar Es Salaaam's biggest malls around ten at night and the guards stop you asking where you are going at that time.
Most of the shops at the mall are already closed so you are left trying to come up with convincing answers.
From January to...
Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu
Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...