dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA : The Butchers of Dar es Salaam

  2. B

    JamiiForums Tanzania To German Embassy in Tanzania: Protesters were burned alive at a German cement factory in Dar es Salaam. We need answers!

    To German Embassy in Tanzania Tanzanians seek cooperation in unearthing the details of what transpired at Twiga Cement Factory in Dar es Salaam during Samia Suluhu Hassan's heinously bloody crackdown of election day demonstrations on October 29, 2025. Per various media reports and firsthand...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wanadai Vitambulisho jijini Dar Es Salaam

    Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania. Eti kufahamiana sio vibaya wanasema. Wao hawaoni kama wanasumbua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 5: Patrol inayoendelea katika baadhi ya viunga vya jiji la Dar es Salaam

    Nyongeza ajili ya wanaotaka USHAHIDI. Nilifanikiwa ku-zoom namba za gari na sura zao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Day 5: Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

    Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar 1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi 2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi 3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

    Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Habari wakuu , Poleni na maandamano yanayoendelea Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ? Maana kuna mtu anataka kujua ndo kaniomba nimuulizie Shukrani sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Waandamanaji ‘waisalimia’ TCRA. Hii inaenda kubaya zaidi

    Mwanzo nilichukulia wanatania. Wanaonekana kudhamiria
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mkuu yeyote wa kikosi cha Dodoma ashike Ikulu cha Chamwino. Kwa Dar es Salaam ashike Magogoni. Tumeshashinda

    Imeisha Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JWTZ
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
  11. JF Summary

    JamiiForums Tanzania Mystery surrounds deaths of four Dar es Salaam youths found near Mapinga–Kibaha road

    The Coast Region Police Force has confirmed the deaths of four young men whose bodies were discovered along the roadside between Mapinga and Kibaha. The bodies had visible injuries to the face and legs, and the victims were estimated to be between 19 and 22 years old, all residents of Dar es...
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

    Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya...
  13. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  14. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Tanzania Hatari na hasara za kuishi Dar es Salaam

    Dar es salaam ni Town City pekee nchini kwetu ambapo unaweza kukutana na watu wa kila aina, asili na tabia tofautitofauti. Hapa bwana unaweza kumtongoza mwanamke leo, na mkamalizana leoleo bila longolongo. Ni sehemu pekee unaweza kumsalimia mtu mkubwa kwako salamu yenye heshima, na akakujibu...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea ubunge Dar es Salaam wanavyomwaga ahadi zao kwa wapiga kura

    Katika kapneni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, baadhi ya wagombea ubunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametoa ahadi wakigusa kero za wananchi. Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), mwaka 2022 Dar es Salaam ilikuwa na wakazi milioni 5.4 na ni mkoa unaokua kwa kasi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta epoxy resin kwa mwanza na hata dar es salaam

    kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio. Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanajiona miungu watu

    Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
  18. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Ofa Maalum kwa wakazi wa Dar es Salaam, Pwani na Maeneo ya Jirani

    Mashimo ya Choo ya Kisasa kwa bei nafuu! Shimo 1 – Tsh 800,000 tu (Laki 8) Mashimo 2 – Tsh 1,200,000 tu (Milioni 1.2) Wasiliana nasi sasa: 0789005562 (Namba ipo WhatsApp pia) Huduma ya haraka, bora na ya kudumu! Usikose – ofa hii ni kwa muda mfupi!
  19. NecZec

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Tumaini Dar es Salaam

    Salamu! Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo 100% au niaje wakuu. Naomba majibu kabla sija confirm kujiunga na chuo hiki kwani nimechaguuliwa chuo...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Hazina ndogo dar es salaam

    Habari za muda huu ,kwa yoyote anayejua ofisi ndogo ya hazina mkoa wa dar es salaam aniambie hipo maeneo gan
Back
Top Bottom