dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Shughuli za kawaida zarejea Dar es Salaam

    Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu. Idadi ya watu sio kubwa sana kama siku zingine. Wafanyabiashara kadhaa wanaonekana kuja kazini kwa kuchelewa Idadi inaendelea...
  2. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam

    Ila Dar es Salaam mji wa maigizo sana, hakuna vichaa wala ombaomba barabarani.
  3. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar es Salaam residents flood Supermarkets in fear of the December 9 protests. Shoppers Mlimani City reports 10x more customers

    Dar es Salaam residents packed major supermarkets on Sunday as many rushed to buy essential supplies ahead of December 9, resulting in long queues and crowded aisles across the city. The rush comes even after the Tanzania Police Force announced a ban on the planned December 9 demonstrations...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania SHETA hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam, CCM fanyeni vetting ya viongozi wa wakubwa

    Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar CCM heshimuni basi wananchi kidogo Mnafanya mambo kishabiki mno. Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno Au ndo mnawapa madaraka ili muweze kuwaendesha na kupitisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dar es Salaam tulionja joto ya jiwe

  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wampongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa

    Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Mzee Matimbwa akizungumza katika...
  10. Cyclopedia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanayojiri kati ya Rais Samia na wazee wa Dar es S alaam

    Guys! Naombeni kujuzwa yale yote yatakayo jiri katika mkutano huo wa leo tar 02/12/2025. Sababu ni ubize wa majukumu ahsanteni.🙏
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

    Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025. Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

    Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika??? Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ratiba ya maandamano ya amani #D9 kwa mkoa wa Dar es salaam

    Mwongozo Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui, Vitu vya msingi 1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha, 2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima, 3, Kuwa na pesa ya akiba kwaajili ya usafiri au chakula, 5, Zingatia namba nne.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa mshindi. Katika uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Ilala, Diwani wa Mchikichini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  17. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kondo Cemetery Nini Kinaendelea Huko?.

    Nimezoom kwa kutumia google map hainipi real on time action. Labda kuna kitu hapa Dodoma kinazuia ila kuna nyie mliopo Daresalama huko ununio mtupe taarifa kama zipo. Jana kuna jamaa alisema tumieni drones kuzoom matukio, vipi mmeshindwa?. Nasubiri kifuatacho.
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wajasiriamali Dar es Salaam wahimiza vijana wenzao kulinda amani na kuepuka vurugu

    Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE: Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki ------------- Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
Back
Top Bottom