MONEY 255
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 233
- 211
Habarini watanzania wenzangu mimi ni kijana wa kitanzania na nimebahatika kupata degree ya sheria, lakini kama ilivyo kawaida ukimaliza masomo huna budi kusubiri Mungu akuletee kazi ili maisha yaweze kuendelea.
Hivyo kama kijana mwenye malengo na baadae yake sitegemei kijana yoyote kuendelea kukaa bila shughuli yoyote ya kujikimu kimaisha pindi anaposubiri ajira.
Hivyo basi mm na kijana mwenzanguu ambaye tulisoma nae Seminary Ya Mtakatifu Maria Mbalizi Mbeya tukaamua kujiajiri na kujikita na usuguaji wa masink na marumaru kwa kutumia solution (mchanganyiko) maalum.
Taarifa zaidi juu ya huduma yetu hii ipo kwenye picha
apo juu na pia ukituhitaji hatubagui kwenye biashara na majumbani tupigie kwa namba 0674047878