dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar mpaka Dar es Salaam kumfuata mtoto wa Kipare

    Duuu, zenji dar mkuu. Shuka nami, Nikiwa chuo mwaka wa pili, nilikua nimepanga kitaa na na washkaji zangu wawili, mmoja kutoka Moro town chalii wa kinyamwezi ila walowezi wa moro, na mdigo mmoja alolowea korogwe. Mshkaji wa moro alikua na demu wake anatesoma form five alfa gems hapo moro, ila...
  2. JamiiForums Tanzania Mbashara: Mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM Taifa mkoani Dar Es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM na sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi siku ya leo 22/05/2021 wanapokelewa katika jiji la Dar Es Salaam. Kazi Inaendelea, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam. MAPOKEZI YA SEKRETARIETI MPYA YA...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Wasifu wa Amos Makalla

    Habari wadau! Mnayemfahamu kindaki ndaki RC wa Dar Es Salaam mheshimiwa Amos Makalla naomba CV yake tafadhali. Je, ni mtu wa aina gani ,maana jiji lilipoa sana baada ya kuondoka Makonda, na yule Alhaji alivyoletwa ndio lilizidi kupoa mpaka mama kashtukia kwamba kipindi cha Alhaji jiji lilipoa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni is to visit Dar today for EACOP signing

    Museveni off to Tanzania to finalise oil pipeline deal President Museveni is any time from now expected in the Tanzanian capital, Dar es Salaam to finalise the signing of the East African Crude Oil Pipeline agreement, the Nile Post has learnt. President Museveni shares a light moment with...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu Dar es Salaam, njoo uyashuhudie

    JIJI linaitwa Dar es Salaam. Rapa wa Kimasai, marehemu Abel loshilaa Motika ‘Mr Ebo’ anaita Saridalama. Wenye mikogo wanatamka Das’lam. Watu na vifupisho, kuokoa nguvu na muda wanaita Dar. Jiji linaitwa Bongo, kwamba ukiishi ndani yake lazima ubongo wako uchangamke. Sifa za jiji ni kubwa mno...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya RPC wa Dar es Salaam kung'olewa sasa iwe zamu ya RPC wa Songwe

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya umri nilionao , RPC Kyando wa Songwe ndiye kiongozi wa Polisi katili zaidi kwa waliopo sasa nchini Tanzania , huyu si wa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari kama RPC Murroto wa Dodoma ambaye hata akikamata chupa 2 za gongo anataka TV zote...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale NOBLE REAL ESTATE, Karibu ujipatie viwanja vya makazi na biashara Dar es Salaam na Pwani

    Habari wanajamvi karibuni kwenye threat hii, Noble Real Estate ni wauzaji wa mashamba na viwanja waliojitika hasa katika jiji la Dar es Salaam na Pwani. Viwanja vyetu vimepimwa na vinatambulika toka Wizara ya Ardhi. Nitakua nikiwaletea miradi mbali mbali kuanzia picha, bei na maelekezo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iphon XR ipo sokoni Dar es Salaam

    Sim bado mpya Haina mchubuko wowote Battery healthy 91% 128gb Price 800,000/= cach Location DSM Contact 0625825641
  9. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake UPDATES: RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

    Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote. Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  12. JamiiForums Tanzania Fursa zipo nyingi sana, 5 Online Projects

    Habari wana board! Namshukuru Mungu kwa uzima aliotukirimia, sifa, heshima na utukufu ni kwake Yeye Pekee! Miaka 5 iliyopita nilianza kupata hamasa ya kujifunga mambo ya kuunda tovuti, hii ilichochewa na kuwepo kwa fursa nyingi sana ambazo mimi binafsi niliziona kwenye upate wa IT...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu na kukamata silaha moja bastola aina ya REVOLVER. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa inasema kuwa Mnamo tarehe 11/05/2021 majira ya saa tatu...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Bunge lajadili malori kukwama bandarini

    Ndugu zangu, Wabunge wa CCM wanapiga kotekote ======== Bunge lajadili malori kukwama bandarini Dar Bunge la Tanzania limeahirisha mjadala wa Wizara ya Afya kwa takribani nusu saa ili kujadili sakata la malori kutoshusha wala kupakia mizigo kwa muda wa siku tano katika Bandari ya Dar es...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua duka la kuuza na kununua lulu(akoya) kwa Dar es Salaam

    Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao. Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.
  16. JamiiForums Tanzania Ajenda ya Corona na Wazee wa Dar es Salaam; Usizunguke zunguke, nyooka kama rula

    WAZEE WATATULIWE CHANGAMOTO ZAO, WASITUMIKE KUHALALISHA MATAKWA YA WATAWALA Jana Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. Kama kawaida, wazee walipigwa "sound", wakapiga makofi, wakapiga picha, wakala FUTARI wakarejea...
  17. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Dar es salaam - Mombasa gas pipeline

  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam Tunakuletea updates hapa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam hongereni kwa kuvaa barakoa

    Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono. Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…