Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Leo nimeamka asubuhi nikitazamia daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar es Salaam zitakuwa zinapakia level seat na abiria wote wakivaa barakoa, sawasawa na agizo la mkuu wetu wa mkoa.
Ukweli ni kwamba hakuna kilichobadilika mtaani, tofauti sana na ilivyokua kwenye wimbi la mwaka jana...
RC MAKALLA: UVAAJI BARAKOA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NI LAZIMA
- Awataka LATRA kusimamia Level seat.
- Aelekeza Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya kusimamia Utekelezaji wa Mwongozo wa Wizara ya Afya
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari...
Habari wakuu,
Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma shule ya msingi alikujaga DSM kusoma chuo, sasa alimaliza akapata kazi huko huko dsm, huwezi amini...
Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga.
Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma...
Habari wadau..!
Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho.
Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza .
Ila sasa nina familia...
Boxer bm 150
namba B
iko vizuri na inatumika hadi sasa
engine haijawahi kushushwa
kadi yake ipo
biashara mnaandikishana mpaka kwa mwanasheria, polisi na serikali za mitaa
haijawahi piga boda boda (private use only)
𝐦𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚
bei 750,000
dar es salaam.. 𝐭𝐞𝐠𝐞𝐭𝐚 𝐤𝐢𝐛𝐚𝐨𝐧𝐢...
Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda.
Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu.
Ukitaka ma...
Hellow,
Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri?
Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa...
Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam.
Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia.
Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
Habari wanajukwaa!
Natumaini hamjambo,
Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu.
Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini.
Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia.
Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au...
Dar es Salaam 19, Julai, 2021
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA USALAMA SIKUKUU YA EID AL ADHA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limejipanga kikamilifu kuimarisha usalama katika kipindi cha sikukuu ya Eid Al Adha...
Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam?
Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
Dar es Salaam ni Jiji lenye harakati nyingi sana ila foleni mjini imekuwa kero ukiunganisha na joto lilipo hapa.
Je, tunafanya nini ili kupunguza foleni katika jiji hili maana kupanua barabara pekee sioni kama ni suluhisho la moja kwa moja
Na tuna mkakati gani wa kuanza kuzuia majiji mengine...
PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
Heshima yenu wapendwa,
Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage!
Safari yenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.