dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Wanigeria wakamatwa wakisafirisha heroin

    RAIA wawili wa Nigeria, Prince Uche Igwilo(39) mkazi wa Bunju na Hanifa Ally Chig'wele( 22) mkazi wa Tegeta kwa Ndevu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilo sita za dawa za kulevya aina ya Heroin. Katika hati ya mashtaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania "Faili halionekani": Wimbo unaotawala mgando wa kutoa haki kwa wakati kwa baadhi ya kesi za rufaa kutoka kwenye mahakama ya kazi Dar es Salaam

    Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo. Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi 1,200,000 unaweza kufanya biashara gani Dar es Salaam?

    Habari zenu wana jamvi, Nimepata mtaji kiasi cha sh 1,200,000/= lengo langu nifanye biashara ya kupata sh 20,000-30,000/= kwa siku. Je inawezekana kupata biashara ya kuingiza kiasi hicho? Kuna mmoja kanishauri biashara ya kuuza juisi ya miwa kwa kumuweka mtu anifanyie maana yake mimi nipo...
  4. JamiiForums Tanzania Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

    Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

    Habari wakuu na wanajamvi, Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa orodha ya NGO's za Social Work zilizopo Dar es Salaam

    Habari za leo ndugu zangu, Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu nyote ndugu zangu wana JamiiForums. Nimeandika huu uzi kwenu kuomba mnijuze orodha ya NGOs za Social work (kazi za Jamii) zilizopo Dar es Salaam. Naheshimu mchango wenu
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Computer na printer vinauzwa, vipo Dar es Salaam

    Bidhaa zote zipo ktk hali nzuri ZIlikuwa zinatumika ofisini Bei ni laki 7 tu Kwa mhitaji tuwasiliane kwa namba 0625825641 Karibuni sana
  9. JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar es Salaam, mnafahamu vipi Samora fundi viatu pale IFM?

    Kuna jamaa nimekuta wanahoji mahali juu ya huyu Jamaa anaitwa Samora ambaye ni fundi viatu wa muda mrefu pale IFM na sasa amehamia Dodoma, wanasema jamaa ndie aliyekua anatoa connection za kazi kwa wanafunzi wengi sana kwa Maboss wa BoT na Watu mabalimbali. Je, Samora ni nani?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jumanne Muliro ahamishiwa Kanda Maalum Dar. Kamanda Gilles Muroto astaafu

    Karibu afande Jumanne Muliro katika mkoa wetu wa Dar es salaam. Tunaelewa utumishi wako uliotukuka uliowezesha amani kutamalaki mkoani Mwanza. Ni imani yetu unatuletea amani katika mkoa wetu huu wa Mzizima. Karibu sana. ----- Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amefanya mabadiliko...
  11. S

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo zuri Jeshi la Polisi kuanza operation maalumu Jiji la Dar es Salaam

    Pongezi kwa jeshi la Polisi kwa kuona umuhimu wa kufanya ilo 1. Dar es Salaam sio yenye uwalifu pekee. Labda kama wanaanza apa alafu wandelee Mikoa mingine 2. Pili wezi gani wanaotafutwa? i . Wakuiba vipuri vya magari majumbani mwa watu? ii. Wakuiba Tv majumbani mwa watu iii. Wezi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nini matatizo sugu ya mkoa wa Dar es Salaam?

    Sisi wakazi wa mkoa huu wa Darisalama na wageni wetu hebu tuorodheshe kero sugu zinazoukumba mkoa wetu huu ili kuwasaidia watatua kero wazisikie na kuzifanyia kazi. Kwa kuwa hawawezi kufika ktk kila kona basi mimi na wewe ndio wawakilishi wazuri kuziorodhesha kero zetu. 1.Malori kuingia mtaani...
  14. JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

    Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam imesema ipo tayari kutoa usafiri kwa ombaomba wanaotaka kurudi kwao kwa hiari ifikapo mwezi wa sita mwaka huu. Huku akiwataka Wakuu wa wilaya kuratibu zoezi hilo ikiwamo pamoja na kuwachukulia hatua za kisheria mawakala wanao waleta kutoka mikoani. Mkuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini. Mashine...
  17. JamiiForums Tanzania Kamarada Amos Makalla tafadhali Wewe ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na wala si Mkuu wa Mkoa wa CCM Dar es Salaam

    Katika Mtu ambaye GENTAMYCINE nimepanga nisiwe namsema ( namsiliba ) hapa JamiiForums kutokana na kuwa ni Mdau wangu mkubwa wa Miziki ya Congo DR ( Misebene ), Mwana Simba SC Mwenzangu na Mtoto wa Mjin vile vile ni Wewe Amos Makalla ( Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam ) Pacha ( Mdau ) Amos...
  18. JamiiForums Tanzania Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  19. JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

    Habari zenu wakuu, nawasalimu sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nalifkisha hili kwenu ili kupata msaada wakuu, kuna binti anatafta kazi ya kuuza duka la nguo (zakike/kiume), supermarket, Usafi maofisini na pia yupo tayari kufanya kazi ktk kampuni yeyote ya mabasi aidha kusafiri na Bus au...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…