dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huenda kesi zimepungua Polisi kwasababu wananchi wamekata tamaa kupata haki zao

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao. Ameeleza hayo leo Jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Raha za kuishi Dar es Salaam

    Dar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani. Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case. Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Vyakula vingi vya mama nitilie Dar es Salaam vinatiwa mafuta na maji ya upako

    Habari! Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi. Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga tozo za miamala kutajwa Mahakamani leo Agosti 16, 2021

    Kesi ya kupinga tozo za miamala ya simu iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 16, 2021, itatajwa tena kwa mara ya pili katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga Taarifa ya kesi hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Jumatatu 16.8.2021 kuanzia saa 3 Asubuhi nitakuwepo ofisi za UVCCM Upanga Jijini Dar

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATENGA MUDA WA KUSIKILIZA NA KUPOKEA MAONI NA USHAURI. KESHO JUMATATU 16.08.2021 SAA 3 ASUBUHI KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATAKUWEPO OFISI NDOGO ZA UVCCM UPANGA DAR ES SALAAM VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

    Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi. hii sio kweri kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

    Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka Bus la Dar - Mwanza linalofika mapema zaidi

    Habari ya wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Wazee Wanaenda wapi hapa Dar es Salaam

    Wasalaamu wakuu. Kuna uwezekano mkubwa ya kuwa wanaume tunapotea mapema sana hasa kwenye hili jiji. Yaani June nilienda kijijini nimekutana na wazee wa miaka hiyo bado wanakula nchi. Lakini hapa Dar unaweza kaa mwaka usikutane na hata na mzee mmoja. La pili, nimekumbuka ile hafla ya makonda...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Bila barakoa kwenye Usafiri wa Umma unashushwa

    Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imetangaza rasmi kuanza kuwashusha abiria wote ambao wataonekana ndani ya vyombo vya usafiri wa umma bila kuvaa barakoa ikiwa katika kupambana na maambukizi ya virusi vya Covid-19. Vyombo vilivyotajwa ni pamoja na daladala, mabasi ya mwendokasi, mabasi yaendayo...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania TARURA waingia mkataba na wakandarasi kuanza ujenzi

    Kazi imeiva katika mkoa wa DSM baada ya TARURA kuingia mkataba na wakandarasi wazawa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa DSM. Billioni 14 tayari zimemwagwa. Sasa tunataka kazi zionekane, wakandarasi wazawa pigeni kazi muache visingizio, kazi mmepewa hela mmepewa sasa ole wenu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam #KaziInaendelea #ChamaImaraSerikaliImara
  14. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kumkamata, kumshambulia na kusambaza picha za utupu za waliyemfumania

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii. Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Singiba...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021 WAKA Wananchi&Katiba Dar es salaam., Tanzania 9 JUL 2021 — Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

    Nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam. Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana...
  17. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gx100 kwa 3.3million: Dar es Salaam

    Mwenye gari ana shida anataka kusafiri wazee anataka 3.3ml ya haraka sogea kwenye gari ukague TUMALIZE pia tuelewane offer za 2ml tushazikataa usihangaike kupiga simu 🥱 Gari ipo kinondoni BIAFRA muda huu ✅ Piga simu 0683011003 what'sApp
  18. JamiiForums Tanzania Siasa inavyochangia Uchafu ndani ya Jiji la Dar es Salaam

    Habari za leo wanabodi, Ni matumaini yangu tupo salama na tunaendeleza mapambano dhidi ya Uviko 19, ni vyema tukachanje ndugu zanguni!!! Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Swala la usafi katika jiji letu la dar isalaam linaendelea kuwa kitendawili kigumu kwa wakazi wa jiji hili na mamalaka...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Matamko gani ya kisiasa yaliyokuvutia wakati mzee Mustapha Songambele ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Mkoa wa Dar es salaam umewahi kuhudumiwa na Wakuu mbalimbali wa akiwamo Mheshimiwa Mustapha Songambele Mzee aliyejaaliwa hekima, busara, weledi, umakini na uadilifu mkubwa Je ni matamko gani ya kisiasa yaliyokuvutia wakati akihudumu kwa nafasi ya RC wa Dar es salaam
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…