Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

iamfadhili_

Member
Feb 21, 2021
5
45
Habari zenu wakuu, nawasalimu sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nalifkisha hili kwenu ili kupata msaada wakuu, kuna binti anatafta kazi ya kuuza duka la nguo (zakike/kiume), supermarket, Usafi maofisini na pia yupo tayari kufanya kazi ktk kampuni yeyote ya mabasi aidha kusafiri na Bus au Kuhudumia ofisini. (Sehemu aliopo ni Dar s'laam)

Age yake: 22years
Level ya elimu: FormSix _pcb
Mawasiliano: 0716 291 217
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom