dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Car4Sale Gx100 kwa 3.3million: Dar es Salaam

    Mwenye gari ana shida anataka kusafiri wazee anataka 3.3ml ya haraka sogea kwenye gari ukague TUMALIZE pia tuelewane offer za 2ml tushazikataa usihangaike kupiga simu 🥱 Gari ipo kinondoni BIAFRA muda huu ✅ Piga simu 0683011003 what'sApp
  2. Siasa inavyochangia Uchafu ndani ya Jiji la Dar es Salaam

    Habari za leo wanabodi, Ni matumaini yangu tupo salama na tunaendeleza mapambano dhidi ya Uviko 19, ni vyema tukachanje ndugu zanguni!!! Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Swala la usafi katika jiji letu la dar isalaam linaendelea kuwa kitendawili kigumu kwa wakazi wa jiji hili na mamalaka...
  3. U

    Matamko gani ya kisiasa yaliyokuvutia wakati mzee Mustapha Songambele ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Mkoa wa Dar es salaam umewahi kuhudumiwa na Wakuu mbalimbali wa akiwamo Mheshimiwa Mustapha Songambele Mzee aliyejaaliwa hekima, busara, weledi, umakini na uadilifu mkubwa Je ni matamko gani ya kisiasa yaliyokuvutia wakati akihudumu kwa nafasi ya RC wa Dar es salaam
  4. Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
  5. Amos Makalla, tekeleza matamko yako mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala umetoa matamko sana tangia ule kiapo cha kuwa Mkuu wa Mkoa, cha ajabu hakuna linalotekelezwa hata moja 1) Ulianza na machinga ukachimba biti weeeh mwisho siku hakuna lililotekelezwa. 2) Ukaenda kukagua mradi wa mwendo kasi Mbagala ukachimba biti ukatoa siku 3...
  6. Naomba kuuliza nitaweza kupata wapi fuel [petrol] stabilizer hapa Dar es salaam?

    Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha. Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza...
  7. Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

    Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema. Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia. Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
  8. Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  9. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
  10. Mikumi: Basi Standard Coach lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam lapata ajali

    Ajali ya basi la Standard Coach kutokea Iringa kwenda Dar. Saa tatu asubuhi hii imetokea ajali ya basi la Standard Coach lenye namba za usajili T543 CSF lililokuwa likitokea mkoani Iringa kwenda Dar es Salaam. Ajali imetokea maeneo ya Mikumi wilayani Kilosa eneo maarufu kama kona za Iyovi...
  11. Samaki waliokufa ufukweni Dar, hawakufa kwa sumu - Waziri

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ametoa ripoti ya uchunguzi wa samaki walionekana wakizagaa katika fukwe za Hospitali ya Aga Khan na Ocean Road, akisema hawakufa kwa sumu. Tukio la samaki kilogramu 164 kuonekana kuzagaa katika maeneo hayo lilitokea Julai 21 mwaka huu, ambapo Serikali...
  12. J

    Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

    Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
  13. City Lodge Hotel iko sokoni; je, hii ni dalili gani kwa soko la Utalii?

    Hoteli mpya kabisa mkabala na Mahakama ya Kisutu iko sokoni baada ya biashara kudorora kwa 73%. Pamoja na sababu zingine COVID 19 yawezekana ni moja ya sababu. ======== City Lodge sells 148-room hotel in Tanzania for R1m, Kenyan hotels also sold The City Lodge Hotel Dar es Salaam in Tanzania...
  14. Leo ni Siku ya 3 mfululizo nyakati hizi za Usiku hadi Alfajiri nasikia Ving'ora tu katika Hospitali Kuu ya 'Kimedani' Mkoani Dar es Salaam Kulikoni?

    Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea. Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.
  15. Msaada wa kazi, nina shahada ya Human Resource

    😂😂
  16. Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
  17. T

    Agizo la RC Makala kuhusu ujazo wa daladala na uvaaji barakoa limedharauliwa au halikueleweka?

    Leo nimeamka asubuhi nikitazamia daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar es Salaam zitakuwa zinapakia level seat na abiria wote wakivaa barakoa, sawasawa na agizo la mkuu wetu wa mkoa. Ukweli ni kwamba hakuna kilichobadilika mtaani, tofauti sana na ilivyokua kwenye wimbi la mwaka jana...
  18. Dar: Daladala zatakiwa kuwa Level Seat, kutakuwa na ziara za kustukiza masokoni

    RC MAKALLA: UVAAJI BARAKOA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NI LAZIMA - Awataka LATRA kusimamia Level seat. - Aelekeza Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya kusimamia Utekelezaji wa Mwongozo wa Wizara ya Afya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari...
  19. Ukija Dar es Salaam hujaoa basi hutaoa kabisa kama usipoondoka

    Habari wakuu, Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma shule ya msingi alikujaga DSM kusoma chuo, sasa alimaliza akapata kazi huko huko dsm, huwezi amini...
  20. Wizi kwenye Mataa ya barabarani

    Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga. Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…