dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania GSO Housing Assistant at US Embassy Dar Es Salaam

    About Announcement Number: Dar es Salaam-2021-045-RA Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: GSO Housing Assistant – All Interested Candidates Open Period: 03/09/2022 – 03/23/2022Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0820 7 Salary: Not Specified Work...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume za mtumba mikoani

    Ndugu habari.. !! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata Segerea. Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa uliyeko Dar Es salaam...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa nguo za mtumba Mikoani

    Ndugu habari! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani. Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Akili za Magufuli: Alidai Mwanza ni Jiji na Dar es Salaam ni Mkoa

    Salaam Wakuu Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije. Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba Mwanza na Dodoma ni Majiji na Dar es Salaam ni Mkoa kinyume kabisa na Sheria na Kanuni za TAMISEMI...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika kuanzisha learning center eneo la Pugu, Dar es salaam

    Salamu wapendwa. Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam. Jengo ninalo na liko centre nzuri Pia nina waalimu wa somo la kiingereza kifaransa. Waalimu wa nursery na baby care sio shida kuwapata. Nimeshaanza...
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Vitz: Tabata, Dar es salaam

    Gari iko tabata.. picha za ndani sina Ac ya kujaza. Haina tatizo lolote Piston 4 cc 990 Mil 3.3 0713096076
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana ndege kutumia dakika 5 kutoka Dar-Dodoma?

    Habari zenu wakuu, Kuna kitu najiulizaga nakosa majibu kwakweli yaani dunia imefikia level ambayo kila kitu washamaliza kabisa, and ndo mwisho unakaribia? Mimi hapa nilikuwa najiuliza swali dogo kabisa kuna ndege inatoka Dar mpaka Dodoma kwa dakika tano (5) ndio 5 na kuna gari inatembea...
  9. JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku. Zama amesema kuwa mumewe...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji tunaeweza fanya biashara pamoja kwenye idea yangu ya bidhaa 6 awepo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVI👇👇👇👇👇👇👇 Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
  13. JamiiForums Tanzania Kero za madereva wengi hapa Dar es Salaam

    Kwa watu ambao tumewahi kuendesha gari nchi zaidi ya moja, ukija kuendesha hapa nyumbani hasa Dar es Salaam unaweza kutamani kupiga watu makofi. Madereva wengi wa Dar hawana rush hour, sa 2 asubuhi ama sa 1 asubuhi wakati watu wana haraka ya kufika kazini unakuta mtu anaendesha gari kama vile...
  14. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Kamati za Bunge zikapige picha kwenye daraja la Tanzanite

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha. Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 4, 2022, Bungeni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Majumba ya Sinema Jijini Dar es Salaam

    Nimeona uzi hapa JF ukisifia Jumba la Senema la Empire la siku hizo, nikaona nikumbushie (na kuwajuza uzao wa dot.com) majumba ya senema yaliyokuwepo Dar enzi hizo. Miaka ya 70 kulikuwepo na majumba sita ya senema jijini Dar. Bila kufuatilia mpangilio wa umaarufu au kigezo kingine cho chote...
  17. JamiiForums Tanzania Fikra ya documentary: Historia ya Chama cha Makuli wa Dar es Salaam (Dar es Salaam Dockworkers' Union)

    FIKRA YA DOCUMENTARY: DAR ES SALAAM DOCKWORKERS' UNION (CHAMA CHA MAKULI WA DAR ES SALAAM) 1947 Leo nimetembelewa na mwandishi kijana Charles Michael kutoka Morogoro. Charles ni muhitimu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambako amesomea utengenezaji wa filamu na ni mwandishi wa BBC. Alinipigia...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  19. JamiiForums Tanzania Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7 Kuhusu mkasa wa mauaji...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Hivi nikifungua digital marketing agency hapa Dar es Salaam, clients wapo?

    Habarini wakuu Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa. Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kutumia ujuzi huu nilionao kuniingizia kipato zaidi. Je nikifungua digital...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…