dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Watu wa Dar es Salaam hivi mnazijua radi za Kigoma?

    Hivi hawa wazee wa chipsi Nyingi na mayonaizi ya kutosha radi kidogo mpaka mnafungulia Uzi? Hivi hizo radi kidogo mnalala uvunguni kweli? Ndio maana wavuta bange panya road wanawakimbiza Kila siku, hivi mlishafika mji wa vidono Kigoma? Watu wa Dar hizo flash hazina hata madhara kwa sababu huo...
  2. F

    Sijawahi kufika Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu. Mimi Nina miaka 23 nina mpango wa kuanza maisha Dar ila sijawahi kufika nilikuwa Nina omba ushauri maeneo gani ya dar yenye vyumba vizuri vya 30000 au chini ambavyo sio uswahilin sana ili niweze kufikia Mimi hela niliyonayo ni 500000 kuanza maisha ya geto Dar. Hapo nikifika...
  3. Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

    kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo ukubwa ni hatua 22 kwa 25 dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado) Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari eneo limejengeka sana 6,500,000Tsh tu za Kitanzania...
  4. Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  5. Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

    Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
  6. Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

    Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo, Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja 📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi...
  7. Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  8. Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Buza ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu. Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
  9. Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

    Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco 6)Pyramids-Egypt 7)US Monastrienne-Tunisia 8)USM Alger-Algeria Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na...
  10. B

    Rais Samia anavyokimbiza mradi wa mwendokasi ili kuondoa foleni Dar es Salaam

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote tunajua namna Dar ilivyo na foleni kubwa, Sasa Serikali ya Rais Samia inaendelea kukimbiza mradi huu wa...
  11. PICHA: Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu Ikulu Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01 April 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.
  12. Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
  13. Dar es Salaam ifanywe mji mkuu msaidizi, Dodoma itaanza kupokea ugeni mkubwa lini?

    Tangu awamu ya tano na sasa ya sita wageni wakubwa wa nchi wamekuwa wanapokelewa Dar na matukio makubwa yanafanyikia magogoni japo mjii mkuu ulishamishiwa Dodoma na serikali yote ikahamia huko. Hii ni kusema kwamba Dodoma na miondombinu ya mji huo huenda bado haikidhi kupokea wageni wakubwa...
  14. Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

    Jamani mnaokuja mjini jipangeni haswa, barabara zimefungwa fungwa haswa zielekeazo Posta hadi Ikulu
  15. Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

    Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya mafanikio. MWANZA Ukienda Mwanza na hakika asilimia 100% utashindwa kujua uanzie wapi umalize wapi, labda...
  16. Dar es Salaam: Mtu mmoja afariki Dunia kwa kupigwa na Radi Kimara

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
  17. Jiji la Dar es Salaam linanuka harufu za ajabu ajabu

    Kwema wakuu? Twende kwenye mada husika. Narudia jiji hili linanuka harufu ya miozo kwa sehemu nyingi. Mtu mbwa wake kadanja anamchukua anamtupa barabarani au pembezoni mwa barabara, paka, mbuzi, kuku wote vilevile. wanatupwa sehemu ambazo ni makazi ya watu au pembezoni mwa barabara. Hii...
  18. C

    INAUZWA Nauza Maharage mapya ya njano Mazuri yapo Dar es salaam kilo Shilingi 2500

    Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla. kilo moja nauza shilingi 2500. Mzigo upo tani 2 na nusu asante. Tuwasiliane kwa namba ya simu +255789740368
  19. Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

    Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja. Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi...
  20. Kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam leo nikiambiwa hakuna Madhara Makubwa nitakataa

    Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi. Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…