dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plots For Sale at Dar es Salaam

    Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale; Location: Dar es Salaam areas. •Mbagala Chamazi: Industrial area, 14km from Kilwa rd, 11 acres(SQM 42,308), USD 8M, Title Deed. •Kisemvule: Industrial area, 400m from Kilwa rd, 3.5...
  2. JamiiForums Tanzania Chalamila: Wananchi wa Dar kufanyiwa vipimo vya afya bure kuanzia Julai 3 hadi Julai 8, 2026

    Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi kwa muda wa siku sita. Akitoa taarifa hiyo, Chalamila amesema kampeni hiyo itaanza Julai 3 hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  4. JamiiForums Tanzania Wanaochafua Dar es salaam ni hawa watatu

    1. Mabango ya manabii/wachungaj 2. Mabango ya CCM 3. Matangazo ya waganga Yani kila sehemu yapi ovyoovyo, nchi haina utaratibu kabsa kama tunaishi porini. Huwez kukuta ujinga huu kwa watu wanaojtambua hata mara moja Kila kituo cha daladala, stend ya mabus , pembezoni mwa barabara hizo takataka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgomo wa Wasafirishaji Dar kuanza Tarehe 1 Julai 2026

    Kutoka mitandaoni, mwaka huu CCM maji wataita mma, CCM wanajitengenezea matatizo Nimekutana na hii video, Kumbe LATRA walisema wataenda na Police?, mwenye video ya Henche anavoelezea Tanzania mapolisi kujazana Dar aweke hapo chini. Pia tunaomba anayemfahamu huyu mmliki wa MOFAT ni nani...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mufti na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu tabia ya kutukanana kwa baadhi ya masheikh mitandaoni

    Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH. Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hawli ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Nyumbani Kwake Magomeni Dar es Salaam

    Anaelezwa kuwa hakuwa alim (mwanachuoni) wa dini pekee, bali alikuwa mwanasiasa shupavu ambaye historia ya Tanganyika haiwezi kuandikwa bila kumtaja. Alikuwa na ushawishi mkubwa kwa viongozi wa TANU na alimuunga mkono Mwalimu Nyerere katika harakati za uhuru,. Mgogoro wa EAMWS na BAKWATA: Video...
  9. JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    Wakuu naimani wazima Twende kwenye Mada moja kwa moja Nimekuwa nikifanya biashara ya Hotspot kwa muda sasa na kumiliki site maeneo tofauti, ila kwa sasa majukumu yananielemea kulingana na project nyingine nje ya Hotspot business nazo fanya inapelekea kukosa usimamizi mzuri kwa baadhi ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO UCHELEWESHWAJI WA UTOAJI VYETI VYA TAALUMA IFM DAR ES SALAAM

    Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza. Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka mikoani. Wiki ya nne sasa hatujapata vyeti na hatuna makazi maalumu ya kuishi tumelazimika...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  13. JamiiForums Tanzania Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

    Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu. Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali. Jiji lenye vyanzo...
  14. JamiiForums Tanzania Muungano ukivunjika kumbukeni Zanzibar maeneo yao Tanga, Bagamoyo, Dar es Salaam hadi kusini mwa pwani.

    Bila kushtuka ila mkianza kufikia kuvunja tuna rudi yale yale ya wapi eneo langu lilipo ishia. Haya sio makusudi ila ndio washajipanga wao. kejeli na ziaka za wabunge wao washajua mikakati yao na kujipanga kabisa kwa lolote. Kuna siku watarudisha mikataba wakidai hizo sehemu na ndo kitovu cha...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wa mifugo wa Dar es salaam

    Habarini za muda WanaJamiiForums. Mimi ni kijana ninayesomea udaktari wa mifugo( BVM) chuo kikuu cha kilimo SUA mwaka wa mwisho. Kwa sasa nipo dar es salaam Kwa mafunzo ya vitendo (Field Attachment ) ili niweze kukamilisha elimu yangu hii ya miaka mitano. Nilikuwa naomba Sana nafasi ya kuweka...
  16. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa. Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa. Au ni mbinu ya DAWASA ili watu wafanye biashara ya maji? Uhaba wa Maji huku ni zaidi ya Mwanza AWESO.
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini treni mchongo yenye behewa 16 (Dar - Morogoro) hainoekani kwenye mfumo wa tiketi

    Kuna jambo ambalo sijalielewa kuhusu uendeshaji wa treni ya mwendokasi (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kwa kawaida, safari hii hutumia treni yenye behewa 14 (ordinary). Hata hivyo, kumekuwa na nyakati ambapo treni ya mchongoko yenye behewa 16 imekuwa ikitumika kwenye route hii. Sina...
  18. JamiiForums Tanzania CECAFA U-17 Women’s Championship 2026 | Tanzania vs Kenya | 17 June 2026 | 04:00 PM | KMC Dar es Salaam!

    Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea. Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya. Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri. Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo biashara ya ukahaba na makosa mengine yanayohusiana na maadili ya Jamii. Akijibu swali la Mbunge...
  20. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO CMA kanda ya Dar es salaam- ofisi ya pale Akiba kuna muamuzi ni hatari sana dhidi ya haki na matendo yake ni ishara ya rushwa imetawala kwake

    Habari wanajamvi wenzangu. Kuna mgogoro wa kazi ulifunguliwa na ndugu yangu CMA kanda ya Dsm. Mwamuzi amefanya vitendo vya makusudi vya upendeleo kwa mwajiri pia anapoteza muda makusudi mwingi ili kumkatisha tamaa mwajiriwa. Anaacha kabisa kuzingatia ushahidi wa wazi wa mwajiriwa halafu eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…