dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta hii movies Gray's Anatomy

    Husika na kichwa cha barua hapo juu.. Sorry ni kichwa cha habari hapo juu... Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango nikapata basi kuna zawadi nono itatolewa. Sitaki mawazo ya et nijiunge bando ni download. Huko pote...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Kero kwenye vivuko, Dar es Salaam

    Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani! Tulizoea huduma ni Masaa 24 ila kwa sasa huduma inaishia saa nane usiku!! Leo kwenye kuscan kadi upande...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa machungu nasema 'Kwaheri mji wangu Dar es Salaam'

    Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam. Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na marafiki na ndugu. Baada ya kukulia, kusoma na kufanya kazi jijini Dar es salaam tangu nilivyozaliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

    Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje. Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank. Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna matukio ya utekaji watoto Mburahati shuleni, taarifa zilizosikika ni uongo na uzushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  8. JamiiForums Tanzania View ya Dar es salaam kutokea floor namba 36 TPA Tower

    Leo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake Huu ni upande wa kariakoo.
  9. JamiiForums Tanzania KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  10. JamiiForums Tanzania Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

    Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila. Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuvutia wateja wa nchi tisa Dar es Salaam kupitia Kariakoo Festival

    17 JULY 2024 MSIMU WA PUNGUZO #Twenzetu Kariakoo Kariakoo Festival 2024 inakuunganisha na Biahara zinazo toa Punguzo la bei katika msimu huu. KARIAKOO KUVUTIA WATEJA WA NCHI TISA DAR ES SALAAM KUPITIA KARIAKOO FESTIVAL...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kinauzwa kiwanja Dar es salaam, Bunju

    Ukubwa wa kiwanja - Mita 23 × 20 Eneo kilipo - Bunju B Bei - Milioni 7 Maelezo Zaidi - 0679268006
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu Kubwa sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku. Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na uwezo wa kufanya masaji wa msichana huyu wa kiarabu kutoka Kariakoo jijini Dar es Salaam

    Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H. Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa anampa sifa ambazo tumezoea kuzisikia kutoka kwa wasichana wa kimwera, wayao, WAMAKONDE, wadigo etc...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Dawasa kwa wakazi wa Dar es Salaam lina maana gani?

    Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki. Nawatakia Jumatatu njema.
  16. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  17. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba (lodge) inauzwa Kitunda Dar es salaam

    NYUMBA INAUZWA (LODGE) Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM) Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo) Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public toilet, parking & fance. ✅Document: Hati Miliki Ipo Contact 📲 0748270719
  18. JamiiForums Tanzania Kigali Vs Dar es Salaam battle

    Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa. Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar. MAENEO YA KULINGANISHA BIG PROJECTS BARABARA ENTERTAINING CENTERS like stadium AIRPORTS STAND/BUS/TRAIN STATION POPULATION MIGRANTS (Wazamiaji)...
  19. JamiiForums Tanzania Driver and Clerk at UNDP Dar es Salaam at July, 2024

    Background The United Nations Capital Development Fund (UNCDF) is the United Nation’s flagship catalytic financing entity for the world’s 46 Least Developed Countries (LDCs). With its unique capital mandate and focus on the LDCs, UNCDF works to invest and catalyse capital to support these...
  20. JamiiForums Tanzania Tulizoea kuyasikia haya yakitokea Mikoani tu kumbe hata Dar es Salaam tunakosema kuna Waliostaarabika pia kuna huu Upumbavu na Ukatili usiovumilika?

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. Chanzo: itvtz Kuna Siku nitaiomba Serikali inipe hata mara moja tu GENTAMYCINE ruhusa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…