Nauli jiji la Dar es Salaam na viunga vyake ni za kumuumiza mwananchi. Serikali fungua nati

Kisesetusese

Senior Member
Sep 12, 2022
173
242
Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri.

Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la kukurupuka kuipandisjmha bila utafiti wa kiuwiano.

Zipo njia hazina tatizo lolote kwa mfano.

Mbezi- kibaha Maili Moja.
Buguruni Mwenge Makumbusho
Mbagala kwa Azizi Ali Temeke
Mbezi Ubungo Mbagala via TMK
Nakadhalika

Makwazo
Nauli za Mbezi-Tegeta-Bunju
Mbezi - Makumbusho
Bunju - Tegeta karakoram
Mwenge - Bunju
Simu 2000-Tegeta-Bunju

Hiz njia zimejaa upuuzi na maonevu.

Hizi nauli zinaishia kunufaisha watu na walah sio hata hawo wamiliki. Hivi karibuni nilishuhudia abirikia akipigana na kondakta. Nilivaa viatu vya kondakta na nikavaa vya abiria.

Kwa kuwa kondakta altona ndio fursa. Akaamua atumie ubabe. Na kwa kuwa abiria anaumizwa na nauli hizi zisizo rafiki akaamua kupambana.

Actually yeanza tiftiff lile anaweza kuwa yoyte baina yao. La kila mmoja alitetea maslahi yake.

Serikali isipofungua ilipomkazia mwananchi kuna imani itapotea na itajenga chuki na hasira za ndani kwa ndani.
 
wantuonea eti kutoka kgmboni mpka kibada nauli 700🥹🥹
kutoka gmboto mpka chanika nauli 800 aisee tena ubaya umepnda gari hili mfno buza makmbsho leo unakatwa nauli 900 kesho unapanda gari asubuh unakatwa 1000 ukiuliza unaambiwa ndo nauli hyo afu jion unarud zako unashangaa unaktwa nauli 700 yaan nauli hazijaeleka kabsa afu latra sjui ujinga gani wapo kimya tu
 
Back
Top Bottom