dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye sunstone, kama unajua location au mtu. Zinahitajika

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  2. J

    JamiiForums Tanzania LATRA kuanzisha utaratibu mpya wa usafiri Dar es salaam

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25. Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti. Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Uhuru, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanarundika ndoo zenye maji ndani

    Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki. Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
  4. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Teaching Vacancies at Dar Es Salaam Independent School August, 2024

    VACANCIES FOR THE SCHOOL YEAR 2024/25 We need the following staff immediately: SECONDARY SCHOOL BIOLOGY TEACHER (IGCSE & A-LEVEL) TEACHERS APPLYING FOR ENGLISH TEACHER POSITION should have Bachelor’s degree or higher in Education or a related field. Prior teaching experience of Cambridge...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam: Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema tayari Jeshi hilo linamshikilia Mtu...
  7. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuanzishwa kwa ‘Human UBER Services’ kwa miji ya Dar es Salaam na Dodoma kuongeza ufanisi katika ukuaji uchumi

    Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio akiwa amelala tu kwenye sofa nyumbani kwake. Katika mfumo huu, vijana wasio na ajira huko Dodoma...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze

    Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  11. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yalaani Vikali Udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia wa Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani vikali kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichooneshwa kwenye video inayosambaa mitandaoni, ikimuonesha mwanamke akifanyiwa vitendo hivyo na kundi la wanaume zaidi ya wanne. TLS imelitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko rasmi kuhusu kuadimika kwa nyama ya mbuzi jijini Dar es Salaam

    Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi. Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Agosti 1, 2024 yasimamisha shuguli za kiuchumi jijini Dar es Salaam

    Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma Dhiara hiyo ya rais samia ilianza asubuhi ya tarehe 1 Agosti akitokea Ikulu ya...
  14. chinatown

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam ni chafu sana

    JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU? Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari mbaya zaidi wana Dar es Salaam nao walivyowajinga mama ntilie wanauzia chakula hapo hapo,wachoma miskaki ile...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dogo Dulla acha Kulazimisha Baba Mkwe wa Hiari amrithi Msomali pale Lumumba Dar es Salaam na Kizota Dodoma sawa? Atamharibia Mazeri

    Baba Mkwe wa hiari huyo alipokuwa Umoja wa Waliotuzaa Chamani aliharibu na kaacha Kashfa nyingi tu. Hafai huyo.
  16. Foffana

    JamiiForums Tanzania Shule zangu 3 bora za serikali mkoa wa Dar es Salaam

    Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam. Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka kumuhamisha nashauri uwapeleke shule hizi Shule hizi zinaongoza kwa kufanya vizuri katika mitihani...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

    Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli. Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili. Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata. Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia...
  18. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Natafuta hii movies Gray's Anatomy

    Husika na kichwa cha barua hapo juu.. Sorry ni kichwa cha habari hapo juu... Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango nikapata basi kuna zawadi nono itatolewa. Sitaki mawazo ya et nijiunge bando ni download. Huko pote...
  19. The useful idiot

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kwenye vivuko, Dar es Salaam

    Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani! Tulizoea huduma ni Masaa 24 ila kwa sasa huduma inaishia saa nane usiku!! Leo kwenye kuscan kadi upande...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa machungu nasema 'Kwaheri mji wangu Dar es Salaam'

    Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam. Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na marafiki na ndugu. Baada ya kukulia, kusoma na kufanya kazi jijini Dar es salaam tangu nilivyozaliwa...
Back
Top Bottom