dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Trust me ankali

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania DAWASA ni moja kati ya idara za serikali zilizofeli sana jijini Dar es salaam, viongozi wawajibishwe

    Nashindwa kuelewa sijui hawa watenda kazi wa hii DAWASA kuanzia viongozi hadi watenda kazi wa chini mmeshindwa kabisa kupata njia mbadala ya kuondoa hizi changamoto za huduma ya maji jijini dar es salaam? Jiji lenye zaidi ya watu milioni 8 Ni aibu sana kuona huduma ya maji ikisuasua nyie...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi

    Waziri MCHENGERWA: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Mpya: Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Majadala: Toa mawazo yako tufanyeje ili kutatua tatizo la maji Dar es Salaam milele

    KARIBU KWENYE MJADALA HUU NDUGU YANGU MTANZANIA Mawazo yako ni muhimu sana katika hii Mada. Mada: TUFANYEJE KUTATUA TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM MILELE Toa mawazo yako ili tupate ufumbuzi juu ya tatizo hili Mchango uwe wa kiufundi zaidi na sio kisiasa Karibuni Pia soma: SoC03 - Mwarobaini...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: JWTZ halina mpango wa kuvamia nchi yoyote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024. https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn "Jeshi letu...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

    Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake. My Take: Huyu...
  9. kikoozi

    JamiiForums Tanzania MWENYE KUJUA APARTMENT / AIRBNB YA BEI RAHISI DAR ES SALAAM

    Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

  11. L

    JamiiForums Tanzania KERO Trafiki mnaoweka kijiwe Kiluvya, Kibamba, Mbezi na maeneo hayo mnalitia aibu Jeshi la Polisi

    MDAU Traffick Mkoa wa Pwani mnalitia aibu Jeshi la Polisi, mnajipanga barabarani kila kituo cha daladala mnachukua buku (1,000) za madereva wa daladala. Mnakaa kituo cha Kiluvya madukani, Bwawani, Gogoni, Kibamba shule, magari saba na kituo cha Mbezi Mwisho. Vituo vyote hivyo makondakta...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  13. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bandari kavu za magari Dar es salaam.

    Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za kibandari. Unapoagiza gari kutoka nchi za nje unaweza kulipokea bandarini TPA ama bandari yoyote kavu kati...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Kampuni ya Serikali ya Korea Kusini ya Yulho wakubaliana kuanzisha chuo cha utafiti

    Watanganyoka tunapigwa na kitu kizito. --- Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining Company" with a local partner. After securing the right to explore local nickel and graphite mines, LOK...
  18. iptl skanska

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for sale at IPTL, Skanska Dar es Salaam

    PLOTS FOR SALE Total Size – 4000Sqm Price – 360,000,000 TZS Location – Mtaa (Sala Sala ) Kata (Wazo ) Barabara (Flamingo Road) Wilaya ( Kinondoni ) Title Deed – Under process Residential Purpose Close to Waziri Dorothy Gwajima 3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each. serious...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  20. newmzalendo

    JamiiForums Tanzania Nauli ya treni ya SGR (Dar - Dodoma) kupanda kuwa TZS 40,000/-

    UFAFANUZI: NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KWA 40,000 NA 31,000 KWA KAWAIDA SIYO SAWA UFAFANUZI ; Nimepokea ufafanuzi kutoka kwa wadau ,NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni. Portal ya tiketi haisemi kitu na website yao haisemi kitu kuhusu tofauti ya bei.
Back
Top Bottom