dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

    Kweli hakuna aijuwaye kesho yake. Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa . Ila hakuna marefu yasiyo na ncha. Nimeondoka hivyo ubakie salama. Nitamiss, raha na karaha zako. Till we meet again. Stroke.
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Karibuni DAR ES SALAAM

    Hawa wanaoajiriwa kuangalia afya wako wapi au ndio kuchaguana
  4. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Sasa itamkwe rasmi Dar es Salaam si ya Wazaramo na Wandengereko

    Maana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani. Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona zote za nchi. Sasa Jiji linapendezeshwa na akina nshomile akina mapikipiki na malori akina mushi na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kukatika katika umeme kila siku baadhi ya nyumba mtaa wa Zavala-Kwambiki Chanika Ilala, Dar es Salaam

    Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku ikifika saa moja usiku mpaka saa nne usiku kuanzia mwaka jana 2024 mwezi wa Tisa. Nili-report...
  6. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Tunashughulikia masuala mbalimbali Dar bila wewe kufika huku

    Habari, Hii ni kwa ajili ya wadau waliopo mikoani (Nje ya Dar es Salaam) na wana shida ya kufika Dar es Salaam ili kutatua shida zao, Wanaweza kuokoa muda, gharama za malazi na usafiri, pamoja na usumbufu kwa kutuagiza sisi RMK Freelance services kushughulikia maswala yao Huduma kama hii...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Manara tunajua unataka sana Kugombea Ubunge Jimbo muhimu Dar es Salaam hivyo unampamba mama ili akupambanie uupate

    C E O wa Manara Tv na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Haji Manara amefunguka kuwa miongoni mwa wanawake majasiri Duniani ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na waandishi wa Habari Manara amesema ni mwanamke gani anaweza kuvumilia matusi kila siku na akanyamanza kimya. "Kuna muda...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Udongo huu ni sababu ya watu wengi kugoma kuhama Dar es salaam.

    Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo dar es salaam

    Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata kwa email hii: kimishalilian@gmail.com. Asante.
  10. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar Es salaam: Umebadili umiliki wa chombo chako cha moto?

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto 1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi 2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo 3:TIN ya mnunuzi 4: Kiapo cha umiliki 5: Picha...
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

    Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au apartment za kupanga au kununua kwa Dar es salaam na Arusha

    KAMA UKO DAR AU ARUSHA UNAUHITAJI WA NYUMBA AU APARTMENT YA KUPANGA AU KUNUNUA TUPIGIE 0772959929
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi baada ya Treni ya SGR kukwama njiani Januari 8, 2025

    Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku. Tunajua kuwa safari...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    To: President, Bishop Wolfgang Pisa, OFM Tanzania Episcopal Conference (TEC) Kurasini Centre P.O Box 2133 Dar es Salaam. 7 January 2025 Mhashamu Baba Askofu Pisa, YAH: MAMBO YANAYOISIBU SAUT MWANZA. Tumsifu Yesu Kristo. Kwanza nikupe hongera kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa TEC...
  16. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar es Salaam: Mchakato wa ufuatiliaji simu zilizoibiwa kupitia Vituo vya Polisi una ‘harufu ya michezo michafu’

    Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
  17. Mathematician

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa (Lingato Kigamboni Dar es Salaam)

    Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano nicheki 0783677210
  18. kingphisher

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam wanachukua hela ya bima ila wanafunzi hawapati kadi ya Bima

    Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs nyigine, lakini hawatowi kadi za bima. Wanatoa tu namba ya bima. Hii imekuwa changamoto kupata...
  19. mrjacksonkalulu

    JamiiForums Tanzania General principle of private law university of Dar Es Salaam

    GENERAL PRINCIPLE OF PRIVATE LAW UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM AND 10 QUESTIONS RELATING TO IT
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wema unaofanya ukiwa Arusha kamwe hautafunika uovu uliofanya ukiwa Dar es Salaam!

    Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga kichwa kutokana na damu alizomwaga moja kwa moja au kuratibu mipango ya damu hizo kumwaga...
Back
Top Bottom