dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mbona hatuwasikii wazee wa Dar Es Salaam awamu hii ya sita?

    Zamani awamu za nyuma, kulikuwa na wazee wa Dar es salaam. Hawa mara kwa mara wangeweza kufanya vikao na mkuu wa nchi kuhusiana na mambo mbalimbali ya nchi. Awamu iliyopita ni kama walipuuzwa na awamu hii ni kama wamesahaulika. Je zama zao zimekwisha?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna 'Upuuzi' gani unaendelea Dar es Salaam leo?

    Mlioko Dar es Salaam hebu tafadhalini hebu mtujuze Sisi tulio mbali. Nasikia kuna Tukio la 'Kipuuzi' sana linaendelea huko.
  3. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Naitamani Dar es Salaam ya namna hii

    👉🏾Dar es Salaam, jiji lenye giza na mwanga, limejaa ndoto na fursa zisizoisha. Lakini ni ndoto gani zinazozungumzwa na watu wanaoshindwa kutimiza malengo yao? Jiji hili linapokuja kwenye mandhari ya kibiashara na utamaduni, linatoa picha ya maendeleo, lakini je, kila pembe ya mji inavyoonekana...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  5. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CAREER GROWTH OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM

    📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢 FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience. Qualifications: ✔ Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
  6. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania CAREER GROWTH OPPORTUNITY IN DAR ES SALAAM

    📢 Internship Opportunity – FIRST PLUS LIMITED 📢 FIRST PLUS LIMITED is seeking a motivated intern to join our team and gain valuable hands-on experience. Qualifications: ✔ Diploma or Bachelor's degree in any field (candidates with a background in Business Administration or Procurement are...
  7. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale KINAUZWA KIWANJA CHENYE HATI DAR ES SALAAM

    Ukubwa wa Kiwanja - 1100 sqm Mahali - Goba centre Bei - Tshs 70,000,000/= Hati ya wizara ipo Call - 0716442950 or 0687614981
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya cashier or customer service nipo jijini Dar es salaam

    Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu maboresho ya miundombinu kituo cha Ubungo kuanzia Feb 22-28 na kuathiri maneno ya Dar, Zanzibar na Pwani

    Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwenye baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani. Tunapenda kuwatia hofu wananchi kuwa maboresho...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

    Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Administrative and Consular Officer at Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam

    Job Opportunity: Administrative and Consular Officer – Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam (February 2025) The Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam has a vacant position for an Administrative and Consular Officer starting from early May 2025. The position will be part of the...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  14. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Aibu Chuo Kikuu Dar es Salaam kuajiri wahitimu kisiwalipe na kutowapa mikataba ya kazi

    Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
  15. jitwangabalogi

    JamiiForums Tanzania Msaada, mafunzo ya reik,pranic healing dar es salaam.

    Naomba msaada Kwa anaejua au kufahamu sehemu ninayoweza kupata mafunzo haya ya reik,pranic healing Kwa hapa dar es salaam naomba anisaidie.
  16. Hharyson

    JamiiForums Tanzania DESIGN AND BUILD SERVICES KARIBU TUKUTIMIZIE NYUMBA YA NDOTO YAKO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM +255624004650

    NUNUA VIFAA TUKUJENGEE WEW UKITULETEA VIFAA UNA RELAX TUNAKUKABIDHI KAZI YAKO CALL US TODAY 0624004650
  17. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  18. K

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

    Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  20. agapito

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wameiua Geneva ya Afrika.

    Kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Kongo kimefanyika leo jijini Dar es salaam. Si nia ya uzi huu kujadili maamuzi ya kikao hicho, bali kuangalia faida zitokanazo na kikao hicho. Kama nchi lazima tuangalie faida tunazozipata na hasara zake! Kama sikosei vikao vyote vya usuluhishi wa Burundi...
Back
Top Bottom