dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga zaidi ya Bilioni 3 kurasimisha makazi jijini Dar es Salaam

    Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 3 kurasimisha makazi ya wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam. Katika kukamilisha zoezi hilo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhakikisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  4. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar Es salaam: CG Mwenda , Desemba ni mwezi wa kuwashukuru walipakodi na kuwasikiliza

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi huuu wa Disemba ni mwezi wa kuwashukuru na kuwasikiliza walipakodi wote nchini. hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 11/12/2024 ofisini kwake jijini Dar es Salaam alipokutana na Umoja wa Mabenki...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yavutia Mataifa ya Ulaya, Asia na Afrika

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na kushuhudia utendaji kazi wake na uwezekano wa kuanza kufanya kazi nao. Serikali ya awamu ya sita...
  6. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar eS salaam: Malipo ya Kodi Desemba 2024

  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

    Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
  8. Kitomai

    JamiiForums Tanzania House4Sale NYUMBA MBILI ZINAUZWA DAR ES SALAAM, TZ.

    Eneo: Wazo Hill, Tegeta Ukubwa: 1052sqm Hati: Miliki ya Wizara Nyumba: Mbili (moja ina vyumba viwili na nyingine ina vyumba vitatu) Bei: 210,000,000/- Ikiwa una nia ya kuinunua, unaweza kuwasiliana nami kwa nambari hii (0784225000) .
  9. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar eS salaam: Naibu Waziri Mkuu ameshuhudia utiaji saini kati ya TRA na TCCIA

    Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania, (TCCIA) katika kuboresha uhusiano na walipakodi. Halfa hiyo imefanyika...
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: DACOBOA Wakutana na Uongozi wa TRA kujaili masuala ya kikodi

    Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe anazungumza na Watazania muda huu makao makuu ya CHADEMA Dar es Salaam, akitoa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anazungumza na Watanzania muda huu kutoka makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huu muhimu, Mbowe anatarajiwa kuzungumzia masuala ya kisiasa, hali ya chama, na mustakabali wa taifa...
  12. Kitomai

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa - Ukonga, Dar es Salaam**

    ** Nyumba inauzwa katika eneo la Ukonga, Dar es Salaam. Ukubwa wa Kiwanja: 885 mita za mraba Hati: Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki Vyumba: Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, na sebule pamoja na mahali pa kula Ufikiaji: Nyumba inafikika kirahisi Bei: 130mil Maelewano yapo Kwa...
  13. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar eS salaam: Waziri wa fedha DR Mwigulu Lameck Nchemba ameongoza waombolezaji kifo cha Amani Simbayo

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Lameck Nchemba leo tarehe 8/12/2024 ameongoza waombolezaji na ndugu wa marehemu Amani Simbayo katika kutoa heshima za mwisho kabla ya mwili kusafirishwa kwenda Malinyi kwa ajili ya mazishi. Soma Pia: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya...
  14. Fateema

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

    Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii. Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Tuliosimamia mitihani ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hatujalipwa kwa kisingizio cha chuo kukosa pesa

    Habari, mimi na wenzangu kadhaa ni mwanafunzi wa shahada za juu shule kuu ya elimu UDSM. Tulisimamia mitihani ya chuo (UE) ya kufunga muhula wa kwanza 2023/24 baada ya Ndaki ya Sayansi za jamii (College of Social sciences) kutangaza kuomba wanafunzi wa postgraduate kusaidia kusimamia mitihani...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Idadi ya ndoa zinazovunjika kwa mwezi Dar es Salaam inatisha: Utafiti waonesha 300, Kila Siku 10

    Wakuu Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  20. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na...
Back
Top Bottom