dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. G

    Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

    Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
  2. Administrative and Consular Officer at Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam

    Job Opportunity: Administrative and Consular Officer – Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam (February 2025) The Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam has a vacant position for an Administrative and Consular Officer starting from early May 2025. The position will be part of the...
  3. Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  4. Aibu Chuo Kikuu Dar es Salaam kuajiri wahitimu kisiwalipe na kutowapa mikataba ya kazi

    Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
  5. Msaada, mafunzo ya reik,pranic healing dar es salaam.

    Naomba msaada Kwa anaejua au kufahamu sehemu ninayoweza kupata mafunzo haya ya reik,pranic healing Kwa hapa dar es salaam naomba anisaidie.
  6. DESIGN AND BUILD SERVICES KARIBU TUKUTIMIZIE NYUMBA YA NDOTO YAKO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM +255624004650

    NUNUA VIFAA TUKUJENGEE WEW UKITULETEA VIFAA UNA RELAX TUNAKUKABIDHI KAZI YAKO CALL US TODAY 0624004650
  7. J

    Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  8. K

    Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

    Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
  9. Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  10. Viongozi wetu wameiua Geneva ya Afrika.

    Kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Kongo kimefanyika leo jijini Dar es salaam. Si nia ya uzi huu kujadili maamuzi ya kikao hicho, bali kuangalia faida zitokanazo na kikao hicho. Kama nchi lazima tuangalie faida tunazozipata na hasara zake! Kama sikosei vikao vyote vya usuluhishi wa Burundi...
  11. Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

    Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025. Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali inayoendelea kuzorota katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akionya kwamba historia itawahukumu vikali...
  12. Rais Ruto awasili Dar kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC

    Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika...
  13. Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
  14. Maporomoko ya Udongo yafunga Barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam kwa Saa Tano

    Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva. Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata...
  15. A

    Msaada: Namna gani naweza kusafirisha vitu vya ndani kutoka Zanzibar kwenda Dar?

    Habari Wadau Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
  16. Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  17. KERO Mbagala Dar es Salaam: Vyoo vya Stand ya Mabasi na daladala Mbagala rangi tatu ni vichafu sana

    1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha. 3️⃣...
  18. B

    Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  19. Sasa ni wakati wa Wazaramo pia kudai Dar Es Salaam yao

    Hawa ndo wenyeji wa jiji la Dar. Wamefukuzwa wamekufukuziwa huko pembezoni mwa Mji na bado wanafuatwa kama vile haitoshi. Nashauri ni wakati wa sasa nao kudai jiji lao maana wamekuwa watumwa na watu wa daraja la chini. Mi naumia sana. Sisi tuna nyumba mitaa flani ndo tumebaki sisi tu baada ya...
  20. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…