dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  2. Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  3. R

    Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  4. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  5. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  6. PreGE2025 Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Dar hauridhishi

    Kiukweli hali ya watu kujiandikisha ipo chini sana hapa Dar es Salaam.
  7. Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
  8. Kuishi Dar es Salaam uwe na akili ya kutafuta pesa

    Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa. Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida...
  9. HOTEL LOCKING SYSTEM INSTALLERS IN DAR ES SALAAM AND MWANZA(SMART LOCK HOTEL)-0746373222.

    HLS ( HOTEL LOCKING SYSTEM). Hii ni system inayotumika katika vyumba vya hoteli na lodge. Ni maalum kwa ajili ya milango inayofunguka Kwa kadi. System hii inakupa option ya ku-create kadi ya kufungua Mlango iweze kutumika ktk muda ambao mteja amelipia chumba, mfano mteja kalipia chumba siku...
  10. Albert Chalamila nadhani umeshajiandaa kwa linalotarajiwa Kwako very soon. Kuna maisha baada ya lolote lile litakalotokea

    Sijui ni kwanini mara kwa mara huwa unashindwa kuitumia hiyo Masters Degree yako unayotamba nayo kuepuka Mitego.
  11. Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
  12. Ubalozi wa Marekani wawataka raia wake kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya Pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa kusafiri katika maeneo haya bila kibali cha awali ======================== Location: Islands and...
  13. PreGE2025 Olengurumwa: Kuna watu wengi hawajui kama zoezi la kujiandikisha linaendelea Dar es salaam, hakuna hamasa ya kutosha

    Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameonesha wasiwasi wake, kwamba zoezi hilo limekosa hamasa ya kutosha ya...
  14. M

    KERO Bunju A Dar es salaam, tatizo la kukatika kwa umeme limekuwa sugu

    Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A. Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A. Ukiuliza wanajibu hitilafu!. Hii hitilafu ambayo haina mwisho ni hitilafu gani?
  15. M

    Natafuta kazi Dar es salaam ujuzi ni ualimu biology na geography lakini hata nje ya taaluma nafanya

    Jaman NAOMBA mnisaidie kijana mwezenu nipate hata ugali na pakuishi nataka kumkimbia huyu mwanamke naombeni kazi wanaume wezangu na wanawake wenyew roho nzuri. Elimu yangu ni digrii ya ualimu masomo ya biology na geography, pia naweza fanya kazi yeyote nje ya ualimu wakuu kwahyo naombeni msaada...
  16. Natafuta kazi au kibarua chochote, nipo Ubungo, Dar es Salaam

    Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
  17. Ni hospitali gani kwa hapa Dar es salaam yenye Gynecologist wazuri?.

    Habari za asubuhi wanamjengo, hapa wala sitakuwa na maneno mengi twende moja kwa moja kwenye mada hapo juu . Nina shida na hospital ambayo ina huduma nzuri za madaktari bingwa wa wanawake zilizopo dsm bila kujali ni hospital binafsi au za umma. Mwenye uzoefu na hili anijuze asante.
  18. W

    PreGE2025 Diwani kata ya Chanika atoa milioni 40 ikiwa ahadi yake kwa wakazi wa eneo hilo kwa ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo wa Serikali za Mitaa, ambapo aliahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa Kata yake na leo ametimiza ahadi hiyo...
  19. PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo: Wananchi wasijiandikishe kupiga kura Dar Es Salaam

    “Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza. Ikiwa hivyo kwamba mapenzi ya yule anayetanganza ndiyo uamuzi, wananchi wana haja gani ya kuja...
  20. Hivi kwa nini familia nyingi za mkoa wa Dar es Salaam huwa hawapiki chakula cha mchana?

    Wakuu Kuna kautafiti nimekua nikikafanya kimya kimya,nimegundua familia nyingi za mkoa wa dar huwa hawapiki chakula cha mchana. Tatizo linaweza kuwa nini wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…