Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu.
Maeneo kama Posta, Upanga, Masaki na Kariakoo yameanza kujazwa na majengo ya kisasa (high-rise buildings), mengi yakiwa na ofisi...