dangote

Aliko Dangote GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian billionaire businessman, and the owner of the Dangote Group, which has interests in commodities in Nigeria and other African countries. As of January 2020, he had an estimated net worth of US$10 billion.Dangote is ranked by the Bloomberg Billionaires Index as the 88th-richest person in the world and the richest man in Africa, and peaked on the Forbes list as the 23rd-richest person in the world in 2014. He surpassed Saudi-Ethiopian billionaire Mohammed Hussein Al Amoudi in 2013 by over $2.6 billion to become the world's richest person of African descent.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  2. Xmonster

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha Dangote Cha kusafisha mafuta Kujengwa East Africa.

    Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huu mpango wa Dangote kujenga refinery East Africa umekaaje?

  5. Huntress

    JamiiForums Tanzania Nigeria’s Aliko Dangote Makes History as World’s Richest Black Person with $30 Billion Net Worth

    Nigerian industrialist Aliko Dangote has cemented his place in history as the wealthiest Black individual on the planet, with his net worth now estimated at around $30 billion — a landmark figure that reflects decades of business success and global influence.  Dangote, 68, is the founder and...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Dangote vs Farouk na nafasi ya matajiri wetu katika vita dhidi ya rushwa

    Mvutano kati ya bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote dhidi ya Boss wa mamlaka ya usimamizi wa bidhaa za petrol Nigeria bwana Farouk ndio mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii. Kwakifupi sana, Dangote anamshutumu Farouk kuhujumu sera za nchi ya Nigeria kukuza uzalishaji wa...
  7. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania ICPC yapokea malalamiko kutoka Aliko Dangote dhidi ya CEO wa NMDPRA

    Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko dangote kupitia wakili wake. malalamiko hayo yanamlenga mtendaji mkuu (CEO) wa nmdpra, Alhaji Farouk Ahmed...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Finance Management Trainees Programme at Dangote July 2025

    APPLICATIONS ARE INVITED FOR FINANCE MANAGEMENT TRAINEES IN THE FINANCE DEPARTMENT Dangote Cement Limited Tanzania, a leading cement producer in Tanzania and a member of the renowned Dangote Group, is looking to recruit five recent graduates, as Management Trainees, for a two-year management...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote chaleta neema kwa wananchi wa Mtwara

    Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Dangote katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yao, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ateta na uongozi wa kiwanda cha Dangote- Mtwara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Alhamisi amefanya mazungumzo na Ujumbe wa Kiwanda cha Kutengeneza Cement Cha Dongote kutokea Mtwara walipokuja kumtembea Ofisini Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Kiwanda hicho Nchini Bwana Adeyemi...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dangote mmoja ni wachina 500 kwenye uwekezaji

    Linapokuja swala la userious kwenye uwekezaji wachina hawako seriously kabisa. Mpaka sasa tangu wameanza kuingia hapa Tanzania sijaona mradi hata mmoja walio wekeza zaidi ya kamari na kufungua fremu za biashara za kodi ya millioni 2 hadi 3. Hebu angalia Dangote mradi aliowekeza huko Nigeria...
  12. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Aliko DANGOTE - Simba wa Afrika

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo. Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kuanzia Kwa hatua ndogo kabisa. Dangote alianza na biashara zake Kwa mkopo, aliaminiwa na kukopeshwa na...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sales Officer at Dangote Cement Plc March 2025

    Description Job Overview: The Sales Officer will be responsible for driving business growth within their location by identifying sales opportunities, building and maintaining customer relationships, and ensuring consistent achievement of sales targets. Key Responsibilities: 1. Identify new...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Area Sales Manager at Dangote March 2025

    Description Job Overview: The Area Sales Manager will oversee the sales operations within a defined geographic region, manage a team of Sales Officers, and drive revenue growth. This role requires strong leadership, excellent communication skills, and the ability to develop and execute sales...
  15. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Umeliona ilo jimbo lake jipya la huyu bwana simba la masimba dangote 🔥🔥

    Wauni wana namba zao zinaitwa 45 na wengine wana namba zao zinaitwa 32 na wengi atuna namba ila chokoza Nenda kacheki video mjini youtube
  16. S

    JamiiForums Tanzania Dangote kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta Angola

    Habari njema kutoka Angola ni kwamba Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote anatarajiwa kuwekeza kwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta cha Lobito ( Lobito Refinery). Hayo yameelezwa kupitia taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Angola nchini Nigeria baada ya Bilionea huyo kukutana na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya kusafisha mafuta Barani Ulaya vyafungwa kwa sababu ya ushindani kutoka kwa kiwanda cha Dangote

    Viwanda vya kusafisha mafuta ( oil refineries) vya barani Ulaya vimeanza kuonja joto la jiwe baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kuanza kufanya kazi. Kiwanda hicho cha Dangote ambacho ni miongoni mwa viwanda vikubwa zaidi vya kusafisha mafuta duniani kimesababisha viwanda vya...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Refinery ya Dangote ni ushindi mkubwa kwa Waafrika

    Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa, ikabidi ahamishie kiwanda huko Lagos. Kimeanza kujengwa mwaka 2016 na kukamilika 2023-2024 kwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliko Dangote ajutia kutoinunua Arsenal iliyokuwa inathamani ya dola bilioni 2, sasa ni dola bilioni 4

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni dola bilioni 2 tofauti na sasa ni $4 bilioni. Dangote alifichua kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Dangote arejea nafasi ya mtu tajiri zaidi barani Afrika

    Mfanyabiashara tajiri kutoka Nigeria, Aliko Dangote (66), amerejea kushika nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kwa mujibu wa Orodha ya Mabilionea ya Bloomberg ya tarehe 7 Septemba 2024, akiwa na utajiri wa thamani ya Tsh trilioni 36.4. Wiki kadhaa zilizopita, Rupert alikuwa...
Back
Top Bottom