dangote

Aliko Dangote GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian billionaire businessman, and the owner of the Dangote Group, which has interests in commodities in Nigeria and other African countries. As of January 2020, he had an estimated net worth of US$10 billion.Dangote is ranked by the Bloomberg Billionaires Index as the 88th-richest person in the world and the richest man in Africa, and peaked on the Forbes list as the 23rd-richest person in the world in 2014. He surpassed Saudi-Ethiopian billionaire Mohammed Hussein Al Amoudi in 2013 by over $2.6 billion to become the world's richest person of African descent.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Matukio na 'Kutengeneza Uhalali': Barua kwa Dangote, Kongamano la 'Never Again' na Madhara yake kwa Taifa

    Wana JF, habari za weekend? Naleta mjadala huu mezani kama mwananchi nisiyefungamana na upande wowote wa kisiasa, lakini nikiwa na mapenzi mema na ya dhati kwa nchi yetu ya Tanzania. Kumekuwa na wimbi jipya la mbinu za kisiasa zinazofanywa na kundi linalojipambanua kama 'watetezi wa utawala...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dangote ana dola bilioni 45 zinasuburi kuwekezwa kwenye LNG plant Nigeria na refinery East Africa. 2030 miradi hiyo itakuwa tayari.

    Msikilize mwenyewe. https://youtube.com/watch?v=jVs4NBoHZic&si=JzFKdd-vhBYoxp9O
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kiwanda cha Kuchakata mafuta (Refinery) kutoa IPO katika masoko ya hisa Africa.

    Baada ya kuzidiwa na Madeni naona Aliko Ally Dangote anataka kuweka sawa vitabu vyake Debt to Capital balance kwa kutoa IPO (Initial Public Offer) ili kupata mtaji ambao utasaidia katika ku balance vitabu Mfanyabiashara huyu alishafungua Refinery yake Nigeria ambayo inachakata pipa 650,000/= kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

    Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa. Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake. Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10%...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dangote oil refinery: Kwa nini Tanga, Tanzania ni chaguo bora kibiashara kuliko Mombasa?

    Na George Michael Uledi Mei 11, 2026 Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi cha Bilionea Aliko Dangote (Dangote Oil Refinery) unapaswa kuelekezwa jijini Tanga, nchini Tanzania...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Dangote njoo ujenge Oil Refinery Zanzibar, huko Bara hawapo serious!

    Asalam Aleikum Alhaji Aliko Dangote, Karibu visiwani ujenge Oil Refinery. Hapa utapata ardhi bure, nafuu ya kodi, nafuu ya kodi na soko kubwa Comoro, Kenya, Madagascar, Seychelles, Somalia, Eritrea n.k
  8. K

    JamiiForums Tanzania Madili na rushwa zamchosha Dangote Tanzania!

    Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa ukiritimba alio nao Dangote bora atafutwe mwekezaji mwingine

    Mwanzoni nilidhani Dangote ni mtu safi ila baada ya kufuatilia nimegundua ni mtu mbinafsi anayependa apate peke yake. Hataki ushindani. Huko kwao Nigeria analaumiwa kushika biashara nzima ya mafuta peke yake kwa kisingizio cha uzalendo. Pia kuna malalamiko kutoka nchi kadhaa za Afrika kuhusu...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  11. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Why is Dangote leaning more towards Mombasa over Tanga? What does this mean for Tanzania?

    Africa's wealthiest industrialist now says he prefers Kenya's coast for his $17 billion oil refinery. President Samia Suluhu Hassan, by her own account, was not consulted before the project was first announced for Tanga. Aliko Dangote — the Nigerian cement-and-sugar tycoon, now widely regarded...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, ametangaza nia yake ya kuwekeza nchini Kenya kwa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta (oil refinery) chenye uwezo wa kuchakata mapipa 650,000 kwa siku. Uamuzi huu unakuja baada ya kuwepo kwa mipango ya awali ya kujenga kiwanda...
  16. Girland

    JamiiForums Tanzania Jinsi Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  17. Girland

    JamiiForums Tanzania SIRI-JINSI Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  19. Xmonster

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha Dangote Cha kusafisha mafuta Kujengwa East Africa.

    Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
Back
Top Bottom