dangote

Aliko Dangote GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian billionaire businessman, and the owner of the Dangote Group, which has interests in commodities in Nigeria and other African countries. As of January 2020, he had an estimated net worth of US$10 billion.Dangote is ranked by the Bloomberg Billionaires Index as the 88th-richest person in the world and the richest man in Africa, and peaked on the Forbes list as the 23rd-richest person in the world in 2014. He surpassed Saudi-Ethiopian billionaire Mohammed Hussein Al Amoudi in 2013 by over $2.6 billion to become the world's richest person of African descent.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Je, hakuna hujuma ya makampuni mengine ya cementi dhidi ya Dangote? Waziri wa Uwekezaji toa neno

    Tumeshuhudia mitandaoni ikisambaa clip kuhusu figisu alizokumbana nazo Dangote katika kiwanda Cha cement Mtwara. Tuhuma nyingi zinaelekezwa kwa watumishi wa Umma ambao wanamaslahi binafsi kuliko maslahi ya Taifa. Kuondoka kwa Dangote kusipuuzwe maana jina lake linaclick masikioni mwa matajiri...
  2. Return Of Undertaker

    Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
  3. GENTAMYCINE

    Kwa Kibao hiki cha 'WAAH' chake Mwana Simba Mwenzangu Diamond akimshirikisha Koffi nasema 'Shikamoo' mno tu Kwake

    Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya au utakuwa kati ya Team Kiba au Yule aliyetaka Kufa kwa Kuanguka kutoka katika Paa la Uwanja wa Mkapa...
  4. Analogia Malenga

    Bei ya Saruji ilipanda kutokana na kufungwa kwa kiwanda cha Dangote

    Kiwanda cha Dangote kinachozalisha Saruji kilichopo mkoani Mtwara, kilisimamisha uzalishaji wa Saruji kwa takribani wiki mbili ili kufanya usafi na ukarabati wa kiwanda. Imedaiwa kuwa hali hiyo ilifanya bei ya Saruji ipae kiasi cha wananchi kulalamikia bei hizo. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius...
  5. 2019

    Gari ya Dangote yaacha njia na kuparamia nyumba, imesababisha foleni sana

    imeziba barabara ya Kilwa. Ni katikati ya Kipati na saba saba kwa Mpili Inasemekana lilimshinda dereva na kuhama barabara na kuparamia nyumba na kuharibu mali za watu. Kuna foleni kubwa sana. UPDATES Eneo ambalo gari liliaribu jana
  6. ibson99

    Dangote oil and gas refinery explained

    Upon completion, the Dangote oil refinery will have the capacity to refine 650, 000 barrels of crude oil a day making it Africa's biggest oil refinery and the world's biggest single-train facility. It will also be producing fertilizer as well as other petrochemical products. The facility is...
  7. Sky Eclat

    Mama Dangote confirms her breakup with Uncle Shamte

    In another episode of keeping up with the Dangotes, Diamonds mother is done with bae. Mama Diamond appeared to make a brutal dig at her Ben 10, saying it’s over. Mama Dangote was responding to a fan who had noticed she no longer posts his pictures. Someone asked her where Uncle Shamte was and...
  8. Kendrick Rama

    Between Dangote and Abramovich who is the Richest ?

    Between Dangote and Abramovich, who do you think is richer? And why exactly are you looking for the richest among these two great business men? Dangote is the richest black man on earth according to Forbes magazine rating. He is the Chairman of the Dangote group, a Nigerian based conglomerate...
  9. beth

    Dangote aongoza kwa utajiri Afrika, Mo Dewji ashika nafasi ya 16

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji (Mo) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 20 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2020 licha ya utajiri wake kupungua kwa Dola milioni 300 (Sh692.67 bilioni). Katika orodha hiyo ya jarida mashuhuri la Forbes kwa mwaka huu limemtaja Mo mwenye miaka 44 kama...
  10. Francis12

    Dangote kuwa mzalishaji mkubwa wa mbolea Afrika

    Wakati Tanzania ikivutana na kiwanda cha saruji cha Dangote kuhusu gharama za uendeshaji biashara, kampuni hiyo ya Nigeria imesaini makubaliano na OCP ya Morocco kuanzisha kiwanda kikubwa barani Afrika cha kuzalisha mbolea na kufanya biashara. ====== Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikivutana na...
Back
Top Bottom