#COVID19 Chanjo za COVID-19 hazizuii kuchangia au kuchangiwa damu

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
638
977
Kumekuwapo maswali mbalimbali ya wanajamii wanaojaribu kujiuliza uhusiano uliopo kati ya kuchangia damu ya chanjo ya Covid-19.

Watu waliochanjwa wanajiuliza kama endapo wanaweza kuambukizwa corona wanapochangiwa damu na watu ambao hawajachanjwa na wengine wanajiuliza endapo kama hujachanjwa ukichangiwa damu na aliyechanjwa utakuwa umepata chanjo au la.

Wataalamu wa afya wanatoa ufafanuzi kuwa chanjo ya Covid-19 haiathiri zoezi la kuchangia au kuchangiwa damu kwa namna yoyote. Wataalamu wanaeleza kuwa virusi vya Corona haviambukizwi kwa njia ya damu hivyo mtu aliyechanjwa hawezi kuambukizwa corona kwa sababu ya kuchangiwa damu.

Wanaongeza kuwa, chanjo ya corona inafanya kazi ya kujenga kinga ndani ya mwili wa aliyechanjwa lakini mchanganyo wa dawa unaounda chanjo husika haubaki kwenye damu ya aliyechanjwa hivyo anapochangia damu haimaanishi anaihamisha kinga yake kwa mtu mwingine.

Aidha, wataalamu wa Afya wanasisitiza kuwa mchakato wa kuchangia damu ni zoezi salama linalohisisha upimaji wa damu kwa umakini ili kuhakikisha mchangiwaji hapati damu yenye matatizo.
===

COVID-19 Vaccine and Blood Donations​

With the COVID-19 vaccine rollout ongoing nationwide, some donors and patients have questions about vaccination, blood donations, and blood transfusions. American Association of Blood Banks experts have compiled answers to some of the most frequently asked questions.

Can individuals donate blood if they have received the COVID-19 vaccine?
Yes. The U.S. Food and Drug Administration’s (FDA) blood donation eligibility criteria permit individuals to donate blood after they have received a vaccine that is authorized in the United States, including those manufactured by Johnson & Johnson, Moderna, and Pfizer.

Do the vaccines affect the blood supply?
  • Vaccines using mRNA do not contain transmissible virus.
  • The blood community has been working closely with the FDA since early 2020 to address all questions regarding COVID-19 vaccines and to ensure the highest levels of quality and safety for the nation’s blood supply.
  • All donors must be well and healthy on the day of donation.
  • Explain that blood donated by individuals who have received a COVID-19 vaccine is not associated with a risk for COVID-19 infection; the SARS-CoV-2 virus is not transmissible by blood. In addition, all blood donations must meet all safety criteria, without exception.
  • Explain that blood donations are always tested for evidence of infectious diseases as part of a rigorous system to protect patients who might need a transfusion.
  • Explain that the hospital is not able to meet such a request because the information is not on the label of blood products, nor available to the hospital.
  • Explain that every patient has the option to accept or decline transfusion, following the hospital’s informed consent policy, processes, and procedures. Legal requirements for informed consent vary from state to state; however, the requirements generally include:
    • An explanation of options and alternatives;
    • An explanation of the material risks and benefits of each option;
    • An opportunity for the patient to ask questions and have them answered by a qualified health care professional; and
    • Documentation of the patient’s decision, including any conditions expressed for the consent.
 
hata nikihitaji damu msiniwekee damu ya mtu aliyechanjwa maana tayari na mimi nitakua nimechanjwa ki'aina ...

wosia uheshimiwe ...
 
Back
Top Bottom